Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuhusu Samia kuja kuwa president kwa awamu nyingine sikupingi na Sina ubaya nae Mama wa watu japo upole wake unaweza kumgalimu kwa kiasi flani

Lakini kuhusu yule mtu aliye fichua uchafu usiongee kitu kawaumbua sana

Na mkimtenga huenda mtakuwa mmeonyesha taswila yenu tusiyo ijua tangu zamani kwamba yeye alikuwa kondoo Kati Kati ya mbwa mwitu walio vaa ngozi za kondoo

Hampaswi kumpoyeza mtu Kama yule Kama kweli mtakuwa si mawakala wa mabebelu

Nategemea busara za mwenyekiti katika hili
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
 
Hapana.

Haina mashiko kimantiki. Kwa yeyote.

Kwa sababu ni argument from tradition.

A logical fallacy.

Hii si habari yangu tu.

Hii ni logic.
 
Mpina ana kosa gani?. Yeye kasema ukweli na sisi tumepima na kuona data zinazo support ukweli wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…