The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Hujamuona samata aliyecheza england?kocha yupo ila wachezaj ndio hatuna ,
samata no,nado no, msuva no ndaragije outWakuu Salaam:
Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi.
Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo.
Wakuu kuna kocha kweli pale Stars?
Tupia chochote kuhusu hii timu!
Mi nafikiri hii timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itolewe kwenye shirikisho la FIFA kwasababu hakuna kitu inafanya kwenye mpira.
goli 1 ndio kufumuliwa bila huruma? nyie ndio waandishi uchwaraWakuu Salaam:
Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi.
Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo.
Wakuu kuna kocha kweli pale Stars?
Mi nafikiri hii timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itolewe kwenye shirikisho la FIFA kwasababu hakuna kitu inafanya kwenye mpira.
Wewe unaonaje?
wachezaji wapo ila kujituma ndio Fkocha yupo ila wachezaj ndio hatuna ,
Mngerudisha basi!goli 1 ndio kufumuliwa bila huruma? nyie ndio waandishi uchwara
Wachezaji ndy wana nuksi siyo uwanjaUwanja umetiwa nuksi huo
Uwanja umetiwa janaba na ccm unategema nn?Wakuu Salaam:
Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi.
Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo.
Wakuu kuna kocha kweli pale Stars?
Mi nafikiri hii timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itolewe kwenye shirikisho la FIFA kwasababu hakuna kitu inafanya kwenye mpira.
Wewe unaonaje?
Taifa Stars itakuja kuwa timu nzuri sana na itakayokuwa inashirki kila fainali za AFCON na WC endapo tu atatokea jasiri wa kuziua na kuzimalizia mbali zife huko timu za Simba na Yanga - basii!Wakuu Salaam: