Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unavyopendekeza simba na yanga kutokee jasiri atakayezifuta, huoni hizo timu ndy zenye mchango mkubwa kwa ukuaji wa soka hapa bongo?Taifa Stars itakuja kuwa timu nzuri sana na itakayokuwa inashirki kila fainali za AFCON na WC endapo tu atatokea jasiri wa kuziua na kuzimalizia mbali zife huko timu za Simba na Yanga - basii!
Sababu za Kufungwa,
1) Kocha kujaribisha wachezaji Hawa ni wale wapya. David Mapigano Kisu anaeza kua mzuri na Clean Sheet zake nne za ligi kuu vs kina Prison sijui. But Uzoefu hana.
2) Kocha kung'ang'ania Wachezaji. Nchimbi na Nado hawana Number hata kwenye Clubs zao, lakini Kocha bado anawapanga tu
3) Uwanja kuharibiwa na Chama Tawala. Hii inasababisha hata wachezaji kushindwa kucheza vizuri.
4) Kadi ya Mkude. Huyu jamaa ana usela-mavi. Mechi ya Kirafiki unakomaa kubishana namna hii. Ukute hata nae alibet mechi iwe na Red card
5) Refa. Nadhani kaingia akiwa "tingasi"
6) Formation ya Kocha nayo imetuangusha. Mkude, Ndemla na Fei Toto hawa ni viungo wa kati na wote wameanza, means kuna mmoja hapa kachukua nafasi ya Number 10. Ina maana alidhamiria kukaba zaidi kuliko kufunga.
Kocha alimaliza mchezo kwa kumtoa Ndemla.Sub za ovyo sana kafanya, yaan zoteeee. Kila sub aliyofanya ilikuwa inapunguza makali yetu
Alafu sub ya ulimwengu ya nini...makocha nao saa nyingine wanataka tuu wachezaji wawagomee alafu waseme hana nidhamuSub za ovyo sana kafanya, yaan zoteeee. Kila sub aliyofanya ilikuwa inapunguza makali yetu
Ndio maana skushangaa Aston Villa kumfungashia virago samatta...
Kwa kiwango kile hata hapa Simba ataanzia benchi
Yaan duuh!! nimeshangaa mpaka nikaondoka kabisa. Zimebaki dk3 za nyongeza eti anamwingiza ulimwengu, yaan kama vile anapoteza muda kulinda matokeo alopataAlafu sub ya ulimwengu ya nini...makocha nao saa nyingine wanataka tuu wachezaji wawagomee alafu waseme hana nidhamu
Wakuu Salaam:
Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi.
Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo.
Wakuu kuna kocha kweli pale Stars?
Mi nafikiri hii timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itolewe kwenye shirikisho la FIFA kwasababu hakuna kitu inafanya kwenye mpira.
Wewe unaonaje?
Kweli mkuu....Samagaol pia anaonekana Kama mtu aliekata tamaa....kwa kifupi hakuwa kwenye mood.wachezaji wapo ila kujituma ndio F
Uganda, Kenya, Malawi, Zambia, Msumbiji na hata Rwanda wapo juu ya Tanzania kwenye FIFA ranking.... je Simba na Yanga zao ni nani?Mkuu unavyopendekeza simba na yanga kutokee jasiri atakayezifuta, huoni hizo timu ndy zenye mchango mkubwa kwa ukuaji wa soka hapa bongo?
We hujui mpira Rwanda ipo juu ya TzUganda, Kenya, Malawi, Zambia, Msumbiji na hata Rwanda wapo juu ya Tanzania kwenye FIFA ranking.... je Simba na Yanga zao ni nani?
Taifa Stars itakuja kuwa timu nzuri sana na itakayokuwa inashirki kila fainali za AFCON na WC endapo tu atatokea jasiri wa kuziua na kuzimalizia mbali zife huko timu za Simba na Yanga - basii!
We ni kenge