Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Hivi kumbe wapumbavu hawajaisha mjini hapa, sio?Wakuu Salaam:
Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi.
Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo.
Wakuu kuna kocha kweli pale Stars?
Mi nafikiri hii timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itolewe kwenye shirikisho la FIFA kwasababu hakuna kitu inafanya kwenye mpira.
Wewe unaonaje?
Sio lazima wote tushabikie soccer wengine shabikieni hata Diamond ina tosha.