Neno moja kwa Kocha wa Taifa Stars baada ya mechi ya leo dhidi ya Burundi

Timu ilicheza vizuri mpaka pale mkude alipoamua Kula kadi.washambuliaji hawakutimiza majukumu yao ila performance was lit.
 
Taifa Stars itakuja kuwa timu nzuri sana na itakayokuwa inashirki kila fainali za AFCON na WC endapo tu atatokea jasiri wa kuziua na kuzimalizia mbali zife huko timu za Simba na Yanga - basii!
Mkuu unavyopendekeza simba na yanga kutokee jasiri atakayezifuta, huoni hizo timu ndy zenye mchango mkubwa kwa ukuaji wa soka hapa bongo?
 
Nilikukubali mpaka point ya tano ila hiyo ya sita ndio nimeona kumbe weee ndio wale timu ikiwa mpinzani anaongiza basi jawabu ni kuongeza striker kitu ambacho ni falacy.

Uelewe kwanza mfumo wa 4-3-3
 
Acha ufalaaa wewee...wachezaji wa africa wakija africa hawachezi kwa kiwango cha juu maana kwanza sie huku hatuwajali kama wanavyofanya ulaya.
Ndio maana skushangaa Aston Villa kumfungashia virago samatta...

Kwa kiwango kile hata hapa Simba ataanzia benchi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo Taifa Stars kuna U-CCM, Boora tumefungwa hovyo kabisa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mkuu unavyopendekeza simba na yanga kutokee jasiri atakayezifuta, huoni hizo timu ndy zenye mchango mkubwa kwa ukuaji wa soka hapa bongo?
Uganda, Kenya, Malawi, Zambia, Msumbiji na hata Rwanda wapo juu ya Tanzania kwenye FIFA ranking.... je Simba na Yanga zao ni nani?
 
Wachezaji hawaonyeshi kama kuna kitu wanahitaji. Wanacheza kukamilisha ratiba tu.

Yani Samatta kama si kuambiwa kwamba anacheza nje, unaweza dhani anachezea Mwadui. Huoni tofauti yake na waliomzunguka.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Uganda, Kenya, Malawi, Zambia, Msumbiji na hata Rwanda wapo juu ya Tanzania kwenye FIFA ranking.... je Simba na Yanga zao ni nani?
We hujui mpira Rwanda ipo juu ya Tz
 
Hatuna kocha, pia MTU kama samatta nadhani hafai kuirwa kwa timu kwa kipindi hichi ameshindwa kuonesha kuwa yye in Captain na anacheza ligi ya kulipwa
 
Mnavuta bhangi zilizochanganywa na kinyesi ndo matokeo yake haya

Taifa Stars itakuja kuwa timu nzuri sana na itakayokuwa inashirki kila fainali za AFCON na WC endapo tu atatokea jasiri wa kuziua na kuzimalizia mbali zife huko timu za Simba na Yanga - basii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…