Neno Moja kwa ndugu zetu wa Kenya kuelekea Kwenye Uchaguzi Mkuu

Neno Moja kwa ndugu zetu wa Kenya kuelekea Kwenye Uchaguzi Mkuu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi, awape subra na uvumilivu, uchaguzi uwe wa amani na warudi kuijenga nchi yao. Amen
 
Mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi, awape subra na uvumilivu, uchaguzi uwe wa amani na mrudi kuijenga nchi yenu. Amen

Ninachojua tu ni kwamba hakuna cha kuzuia kusiwepo na ' machafuko ' nchini Kenya hasa kuanzia Kesho. Tujiandaeni tu sasa kujipanga jinsi ya kupokea ' Wakimbizi ' wengi kutoka nchini Kenya.
 
waache kuangaliana kwa makabila yao. KENYA NI MOJA WAKAPIGE KURA NA KULINDA AMANI YA NCHI YAO KWA MUSTAKABALI WA NCHI YAO
 
Ninachojua tu ni kwamba hakuna cha kuzuia kusiwepo na ' machafuko ' nchini Kenya hasa kuanzia Kesho. Tujiandaeni tu sasa kujipanga jinsi ya kupokea ' Wakimbizi ' wengi kutoka nchini Kenya.
Tuwaombee ili mwenye enzi Mungu aepushie mbali. Bado naitazama East Africa kama nchi moja, Mungu awafanyie wepesi.
 
Hawa wandugu hakuna namna ambayo sisi kama tz tunaweza kuwazuia wasitwangane. Kama nchi tuwe tayari kuwapokea baadhi yao pale Namanga.
 
Hawa wandugu hakuna namna ambayo sisi kama tz tunaweza kuwazuia wasitwangane. Kama nchi tuwe tayari kuwapokea baadhi yao pale Namanga.
Tunaweza tukawatuma Gwajima, Kakobe na Mzee wa Upako wakapige ombezi za hatari
 
Tanzania tuko njia moja 2020 kumtoa mdudu ccm hata kwa upanga kama mnavyofanya.

Swissme
CCM ndiyo mkoloni mpya? adui yetu mkubwa ni ujinga, wanaochagua wakiondolewa ujinga basi mambo yatakaa kwenye mstari tu
 
Mkuu Wewe Mkenya nini?
Taratibu mkuu, mimi ni Mtanzania ila naangalia haya mambo katika regional perspective. Instability kwenye nchi moja inaweza ikaleta matatizo kwenye nchi nyingine within the East Africa.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
CCM ndiyo mkononi mpya? adui yetu mkubwa ni ujinga, wanaochagua wakiondolewa ujinga basi mambo yatakaa kwenye mstari tu
Ccm ndio kawafanya watanzania kuwa wajinga maana inside of 54 years lakini hakuna hata msdawati

Swissme
 
Ccm ndio kawafanya watanzania kuwa wajinga maana inside of 54 years lakini hakuna hata msdawati

Swissme
Ujinga ukiona unatakiwa uukatae, kuukataa ujinga ni wajibu wa mjinga mwenyewe kwanza na jamii yake. Mara nyingi huwa nikisoma thread nyingi nagundua mikoa kama vile Dar es salaam, Mbeya, Kiliminjaro na Arusha ni mfano mzuri wa jamii zilizokataa ujinga. Sisemi kwa ubaya, lakini nadhani ni jamii ambazo ukizifanyia ujinga haziwezi kukuchagua kwasababu ni jamii za watu waliokataa ujinga.
 
Back
Top Bottom