MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi, awape subra na uvumilivu, uchaguzi uwe wa amani na warudi kuijenga nchi yao. Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi, awape subra na uvumilivu, uchaguzi uwe wa amani na mrudi kuijenga nchi yenu. Amen
Tuwaombee ili mwenye enzi Mungu aepushie mbali. Bado naitazama East Africa kama nchi moja, Mungu awafanyie wepesi.Ninachojua tu ni kwamba hakuna cha kuzuia kusiwepo na ' machafuko ' nchini Kenya hasa kuanzia Kesho. Tujiandaeni tu sasa kujipanga jinsi ya kupokea ' Wakimbizi ' wengi kutoka nchini Kenya.
Hiyo ni hekima kubwa, waipate hiyo kesho siku ya Uchaguzi Mkuu.waache kuangaliana kwa makabila yao. KENYA NI MOJA WAKAPIGE KURA NA KULINDA AMANI YA NCHI YAO KWA MUSTAKABALI WA NCHI YAO
Tuwaombee ili mwenye enzi Mungu aepushie mbali. Bado naitazama East Africa kama nchi moja, Mungu awafanyie wepesi.
Tuwaombee tu Mungu si athumani wahenga walishawahi kusemaTumeshachelewa.
Tunaweza tukawatuma Gwajima, Kakobe na Mzee wa Upako wakapige ombezi za hatariHawa wandugu hakuna namna ambayo sisi kama tz tunaweza kuwazuia wasitwangane. Kama nchi tuwe tayari kuwapokea baadhi yao pale Namanga.
Tuwaombee tu Mungu si athumani wahenga walishawahi kusema
CCM ndiyo mkoloni mpya? adui yetu mkubwa ni ujinga, wanaochagua wakiondolewa ujinga basi mambo yatakaa kwenye mstari tuTanzania tuko njia moja 2020 kumtoa mdudu ccm hata kwa upanga kama mnavyofanya.
Swissme
Itakuwa vizuriTunaweza tukawatuma Gwajima, Kakobe na Mzee wa Upako wakapige ombezi za hatari
Taratibu mkuu, mimi ni Mtanzania ila naangalia haya mambo katika regional perspective. Instability kwenye nchi moja inaweza ikaleta matatizo kwenye nchi nyingine within the East Africa.Mkuu Wewe Mkenya nini?
Ccm ndio kawafanya watanzania kuwa wajinga maana inside of 54 years lakini hakuna hata msdawatiCCM ndiyo mkononi mpya? adui yetu mkubwa ni ujinga, wanaochagua wakiondolewa ujinga basi mambo yatakaa kwenye mstari tu
Ujinga ukiona unatakiwa uukatae, kuukataa ujinga ni wajibu wa mjinga mwenyewe kwanza na jamii yake. Mara nyingi huwa nikisoma thread nyingi nagundua mikoa kama vile Dar es salaam, Mbeya, Kiliminjaro na Arusha ni mfano mzuri wa jamii zilizokataa ujinga. Sisemi kwa ubaya, lakini nadhani ni jamii ambazo ukizifanyia ujinga haziwezi kukuchagua kwasababu ni jamii za watu waliokataa ujinga.Ccm ndio kawafanya watanzania kuwa wajinga maana inside of 54 years lakini hakuna hata msdawati
Swissme