Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Amina amina.He will surely be the president of this country! Namtaja kwenye maombi yangu!
Amina amina.He will surely be the president of this country! Namtaja kwenye maombi yangu!
Kalia wapi? Ye anacheka na kufurahi tu. Nyie ndo mnahangaikaAache kulialia mahakamani ndo kwanza ana mwezi mmoja anatakiwa akae mwaka mzima ndani
Sidhani kama wewe umefikia hata 10% ya kumchukia Lissu kama alivyokuwa Idugunde, Mudawote na Kawe AlumnMashoga na wasagaji? "Sawa!
Amina amina.
Nitafanya hivyo Mtumishi. B Tumkabidhi Mkono wa Kuume wa Mungu, Bwana wa Majeshi.Hata ukiwa na dakika 1 kabla unalala na ukiamka, taja jina la Lisu mbele za Mungu
Nitafanya hivyo Mtumishi. B Tumkabidhi Mkono wa Kuume wa Mungu, Bwana wa Majeshi.
Barikiwa na Bwana....nisamehe nimekosa mimi.Sijawahi kumchukia Lissu
Umezaliwa kupitia Emergency door ndio maana akili zako zina uharo.Aache kulialia mahakamani ndo kwanza ana mwezi mmoja anatakiwa akae mwaka mzima ndani
AminaMungu azid kusimamia Mh.lissu
Bravo bravo bravo menShujaa mwanamapinduzi, big up!!
Sio kuogopa muhimu ni serikali kutekeleza masharti ya sheria yeye hajahukumiwa. Wewe ukifukunyuliwa nyuma utafurahia kwasbaabu umwanamke??Shujaa anaogopa kuwekwa pamoja na waliohukumiwa kunyongwa