Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Ahahaha hapo ata kuna washua wanakaa mazingira hayo piaMswahili kitaalamu ni mtu anayetokea pwani pwani huko zenji,Tanga, mtwara,Lindi,bagamoyo ila kimjinmjin mswahili Ni mtu anayekaa mazingira hatarishi(uswazi)