Au kwanini wasifunge tu hizo chanel zote tatuKwanini lisitumike neno lenye asili ya kibantu kama 'Moja kwa Moja' ambalo kila mtanzania kuanzia kijijini hadi mjini ataelewa maana yake?
Au Kwa nini viboko visitumike kuwanyoosha wale wanaofanya makosa ya wazi kiasi cha kuwaharibu/kuwapoteza wale wanaowafuatilia?Au kwanini wasifunge tu hizo chanel zote tatu
Mbona maneno mengi tu yanakosewa mkuu. Kwa mfano, 'bahati mbaya' badala ya 'isivyobahati', 'jumbe' badala ya 'ujumbe', n.k.Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu
Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika matamshi watu hutumia "staki"
Kuna wanaoandika MUBAASHARA na hawa si wengine bali ni Imaan media. Hawa wanachanganya kiarabu na Kiswahili kiasi kwamba wanaharibu maneno ya Kiswahili kwa kulazimisha kuyatamka/kuyaandika kwa matamshi ya kiarabu. Uharibifu umeanzia kwenye jina lao lenyewe ambapo badala ya IMANI wamejiita IMAAN
Kuna wanaoandika MUBASHARA mfano ITV na hawa nadhani ndo waasisi wa kuandika na kutumia neno hili katika media. Ukiangalia kwenye lugha hawa ndio wapo sahihi zaidi
Ingesaidia kuwanyoosha, swali ni moja tu, NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE?Au Kwa nini viboko visitumike kuwanyoosha wale wanaofanya makosa ya wazi kiasi cha kuwaharibu/kuwapoteza wale wanaowafuatilia?
Kwa mfano, pale Radio One, Bahati Alex, huwanyoosha wote wanaobananga (wanaokosea maneno) lugha katika vipindi mbalimbali.Ingesaidia kuwanyoosha, swali ni moja tu, NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE?
Hiyo TBC wangeifunga tu, tukiimisi baada ya miaka mitano wataifungua. Kwasasa sioni kazi ya msingi inayofanya zaidi ya kutangaza mbuza wa wanyama tu.Kwa mfano, pale Radio One, Bahati Alex, huwanyoosha wote wanaobananga (wanaokosea maneno) lugha katika vipindi mbalimbali.
Bahati, endelea kuwanyoosha wanaokiharibu kiswahili chetu .
Redio ya wazee hiyo. Mimi ndiye Mzee pekee nisiyesikiliza TBC.Hiyo TBC wangeifunga tu, tukiimisi baada ya miaka mitano wataifungua. Kwasasa sioni kazi ya msingi inayofanya zaidi ya kutangaza mbuza wa wanyama tu.
Wewe ni tafsiri halisi mpumbavuUkiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu
Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika matamshi watu hutumia "staki"
Kuna wanaoandika MUBAASHARA na hawa si wengine bali ni Imaan media. Hawa wanachanganya kiarabu na Kiswahili kiasi kwamba wanaharibu maneno ya Kiswahili kwa kulazimisha kuyatamka/kuyaandika kwa matamshi ya kiarabu. Uharibifu umeanzia kwenye jina lao lenyewe ambapo badala ya IMANI wamejiita IMAAN
Kuna wanaoandika MUBASHARA mfano ITV na hawa nadhani ndo waasisi wa kuandika na kutumia neno hili katika media. Ukiangalia kwenye lugha hawa ndio wapo sahihi zaidi
Aliyesema "Chumi Zetu" afanywaje?Au kwanini wasifunge tu hizo chanel zote tatu
Jumbe zikiwa nyingiMbona maneno mengi tu yanakosewa mkuu. Kwa mfano, 'bahati mbaya' badala ya 'isivyobahati', 'jumbe' badala ya 'ujumbe', n.k.
Au ndio kiarabuAliyesema "Chumi Zetu" afanywaje?
Kwa kiswahili sanifu,mubashara,mbashara ni sahihi kabisa.Mubashaara pia ni sahihi lakini sio sanifuUkiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu
Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika matamshi watu hutumia "staki"
Kuna wanaoandika MUBAASHARA na hawa si wengine bali ni Imaan media. Hawa wanachanganya kiarabu na Kiswahili kiasi kwamba wanaharibu maneno ya Kiswahili kwa kulazimisha kuyatamka/kuyaandika kwa matamshi ya kiarabu. Uharibifu umeanzia kwenye jina lao lenyewe ambapo badala ya IMANI wamejiita IMAAN
Kuna wanaoandika MUBASHARA mfano ITV na hawa nadhani ndo waasisi wa kuandika na kutumia neno hili katika media. Ukiangalia kwenye lugha hawa ndio wapo sahihi zaidi
Au kwanini mleta mada asiangalie tu tv bila kusoma hilo neno linalomkera?Au Kwa nini viboko visitumike kuwanyoosha wale wanaofanya makosa ya wazi kiasi cha kuwaharibu/kuwapoteza wale wanaowafuatilia?
"Moja kwa moja " Ni maneno matatu tunataka neno moja😃Kwanini lisitumike neno lenye asili ya kibantu kama 'Moja kwa Moja' ambalo kila mtanzania kuanzia kijijini hadi mjini ataelewa maana yake?
Laivu"Moja kwa moja " Ni maneno matatu tunataka neno moja😃