smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,837
Kama ni mwanaume utakuwa punga ila pia kama ni mwanamke utakuwa lesboKuna tatizo lolote ukimpenda binadamu mwenzako hasa wa jinsia nyimgine bila kuingiza hisia za mapenzi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mwanaume utakuwa punga ila pia kama ni mwanamke utakuwa lesboKuna tatizo lolote ukimpenda binadamu mwenzako hasa wa jinsia nyimgine bila kuingiza hisia za mapenzi ?
[emoji23][emoji23]Mimi ukiniambia hilo neno najua unataka tufanye matusi
Kweli mwanamke akiniambia ananipenda najua ananitongoza namm huwa namkubalia[emoji23][emoji23]
Yani weh kiumbe..kama jf bado ingekua inazingua ningeumwa..majibu yako tu mi hoiMimi ukiniambia hilo neno najua unataka tufanye matusi
Wanaume kwa wanaume hawatakiwi kupendanaKama ni mwanaume utakuwa punga ila pia kama ni mwanamke utakuwa lesbo
Wew je[emoji23][emoji23]
Wanawake huwa hawapendani dunia hiiWanaume kwa wanaume hawatakiwi kupendana
au
wanawake kwa wanawake hawatakiw kupendana ?
Huu mtazamo una ukweli kias gan ?Wanawake huwa hawapendani dunia hii
Hujawah kumwambia mwanamke hasiye mpenz wako maneno hayo ?Kweli mwanamke akiniambia ananipenda najua ananitongoza namm huwa namkubalia
Hujawah kumeambia mwanamke hasiye mpenz wako maneno hayo ?
Soma vzur swali languAkiniambia tu hapohapo naanza kumshika nyonyo
Yani weh kiumbe..kama jf bado ingekua inazingua ningeumwa..majibu yako tu mi hoi
Mimi siwezi kutoa hilo neno kwa mtu ambaye sio mpenzi wangu hata siku moja...kwanza sina urafiki wa namna hiyo na wanawakeSoma vzur swali langu
Umesema neno "wa jinsia nyengine " mkuuWanaume kwa wanaume hawatakiwi kupendana
au
wanawake kwa wanawake hawatakiw kupendana ?
Ndio mkuuUmesema neno "wa jinsia nyengine " mkuu
Neno NAKUPENDA nikiambiwa na rafiki nalipokea kirafiki nikiambia na Mupenzi nalipokea kwa hisia nilizonazo kwake MupenziWew je
Nafasi ya kunitafuta mpaka anipate aniambie ananipenda hakunaNooo
Nachomaanisha wewe unaweza ukawa ume move on lakini yeye akakutafuta na akakwambia I LOVE YOU. Kuna tatizo hapo ?