Neno NAKUPENDA huwa unalitafsiri vipi ?

Kama ni mwanaume utakuwa punga ila pia kama ni mwanamke utakuwa lesbo
Wanaume kwa wanaume hawatakiwi kupendana
au
wanawake kwa wanawake hawatakiw kupendana ?
 
Nooo

Nachomaanisha wewe unaweza ukawa ume move on lakini yeye akakutafuta na akakwambia I LOVE YOU. Kuna tatizo hapo ?
Nafasi ya kunitafuta mpaka anipate aniambie ananipenda hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…