Sandy360
Senior Member
- Nov 7, 2022
- 152
- 211
Khaaa sasa hapo kosa langu lipi...
Nimekuita according na jina la ID yako sasa shida ipo wapi au ninge fanya hivi MamaSamia2025 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa sasa hapo kosa langu lipi...
Nimekuita according na jina la ID yako sasa shida ipo wapi au ninge fanya hivi MamaSamia2025 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajiita mama. Alafu wewe ukimuita anatukana.Huyu jamaa anashida
Yaishe MamaSamia2025 .. nisamehe mimiAcha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo
Sasa pale mi nilipokosea wapi ...?!!Anajiita mama. Alafu wewe ukimuita anatukana.
Nimecheka sana
😂😂😂Khaaa sasa hapo kosa langu lipi...
Nimekuita according na jina la ID yako sasa shida ipo wapi au ninge fanya hivi MamaSamia2025 😂😂😂😂😂
Mambo ya Facebook taratibu yamehamia JF aiseeSemaNAKUPENDA
kwa kilugha chenu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ukipata wakwenu mfate PM mkatambe huko.
Nipo hapa nasubiri wa lugha yangu nimfate pm, sitaitaja hapa lugha yangu ila mtu akiipatia basi nitamfuata pm tugonganishe kilugha kama vile tupo uchagani ama upareni ama kule kwa wagosi.
Karibuni.
Hahahaaa.... Kimbeya hiki. 😁😊Nakutogwile nkima wane 😘
Hapana sio kimbeya hikiHahahaaa.... Kimbeya hiki. 😁😊
Mzigo wa wapi huo?
Ndagukunda cyaneNakukunda
Nalingi bino😊😊😊😊Wagonjwa unawahudumia kweli au DR ya mchomgo?
Mzigo wa kitanzania lakini ni used, tunauza kwa bei nafuu.... 😊😁Mzigo wa wapi huo?
Makandana moja hiyo 😀✅✅Ngughanile fijho
Shilingi ngapi?Mzigo wa kitanzania lakini ni used, tunauza kwa bei nafuu.... 😊😁