Neno 'Nakupenda' kwa Lugha ya kwenu linatamkwaje?

Neno 'Nakupenda' kwa Lugha ya kwenu linatamkwaje?

Sema
emoji7.png
NAKUPENDA
emoji7.png
kwa kilugha chenu.

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Ukipata wakwenu mfate PM mkatambe huko.

Nipo hapa nasubiri wa lugha yangu nimfate pm, sitaitaja hapa lugha yangu ila mtu akiipatia basi nitamfuata pm tugonganishe kilugha kama vile tupo uchagani ama upareni ama kule kwa wagosi.

Karibuni.
Kanyor Aleng
 
Back
Top Bottom