Khaaa sasa hapo kosa langu lipi...
Nimekuita according na jina la ID yako sasa shida ipo wapi au ninge fanya hivi MamaSamia2025 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajiita mama. Alafu wewe ukimuita anatukana.Huyu jamaa anashida
Yaishe MamaSamia2025 .. nisamehe mimiAcha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo
Sasa pale mi nilipokosea wapi ...?!!Anajiita mama. Alafu wewe ukimuita anatukana.
Nimecheka sana
πππKhaaa sasa hapo kosa langu lipi...
Nimekuita according na jina la ID yako sasa shida ipo wapi au ninge fanya hivi MamaSamia2025 πππππ
Mambo ya Facebook taratibu yamehamia JF aiseeSemaNAKUPENDA kwa kilugha chenu.
Ukipata wakwenu mfate PM mkatambe huko.
Nipo hapa nasubiri wa lugha yangu nimfate pm, sitaitaja hapa lugha yangu ila mtu akiipatia basi nitamfuata pm tugonganishe kilugha kama vile tupo uchagani ama upareni ama kule kwa wagosi.
Karibuni.
Hahahaaa.... Kimbeya hiki. ππNakutogwile nkima wane π
Hapana sio kimbeya hikiHahahaaa.... Kimbeya hiki. ππ
Mzigo wa wapi huo?
Ndagukunda cyaneNakukunda
Nalingi binoππππWagonjwa unawahudumia kweli au DR ya mchomgo?
Mzigo wa kitanzania lakini ni used, tunauza kwa bei nafuu.... ππMzigo wa wapi huo?
Makandana moja hiyo πβ βNgughanile fijho
Shilingi ngapi?Mzigo wa kitanzania lakini ni used, tunauza kwa bei nafuu.... ππ