Yaan ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi.Sijui tatizo nini?
Baby nakupenda!
Baby mwenyewe 👇🏽
Actually upo sahihi ila huu ujumbe mi nilichelewa kuupata.Mahusiano ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "nakupenda pia"
Kila mtu akijitahidi kuwa upande huo, nani atakaa upande wa "nakupenda", si itakuwa mwendo wa kutegeana tuMahusiano ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "nakupenda pia"
Sema neno NAKUPENDA PIA limekaa kinafki sana.Mahusiano ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "nakupenda pia"
Sema neno NAKUPENDA PIA limekaa kinafki sana.Mahusiano ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "nakupenda pia"
NakaziaMahusiano ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "nakupenda pia"