Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Kwangu hilo ndilo neno ninalopenda kumwambia zaidi kaka mzuri wangu, siwezi kumtumia texts tatu bila kumwambia nampenda.
Same kwake, umegeuka utaratibu wetu na kiukweli ndilo neno napenda kusikia kutoka kwake.

Nyie wenzetu vipi? Asiponiambia ananipenda sina raha.
Nifah unanikumbusha mbali sana, na hayo ndio mapenzi kila mmoja yupo kwa ajili ya mwenzie. Chemistry yenu ipo bomba mno.
Sio unakuwa na mtu hata kukujulia hali tu ni mtihani.
 
Nifah unanikumbusha mbali sana, na hayo ndio mapenzi kila mmoja yupo kwa ajili ya mwenzie. Chemistry yenu ipo bomba mno.
Sio unakuwa na mtu hata kukujulia hali tu ni mtihani.
Kiukweli kabisa sijawahi kuwa na mwanaume ambaye chemistry yetu ni kama mimi na kaka mzuri.
Haya na mengine mengi yalinifanya nikashindwa kumsahau, sasa hivi tuko pamoja tena hakuna kingine nahitaji katika hii dunia.
 
Hiyo siipendi, me more ndio huwa naitumia.

Halafu yeye ndio alinifundisha, mi hata nilikuwa sijui kama tunatakiwa kuambizana kila wakati.
Basi ndio nimezoeaaaa, asiposema kwenye maongezi ya dakika 5 tu nawasha moto 😀
😍
 
Kiukweli kabisa sijawahi kuwa na mwanaume ambaye chemistry yetu ni kama mimi na kaka mzuri.
Haya na mengine mengi yalinifanya nikashindwa kumsahau, sasa hivi tuko pamoja tena hakuna kingine nahitaji katika hii dunia.
Hayo ndiyo mambo sasa
 
Back
Top Bottom