Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Kiukweli kabisa sijawahi kuwa na mwanaume ambaye chemistry yetu ni kama mimi na kaka mzuri.
Haya na mengine mengi yalinifanya nikashindwa kumsahau, sasa hivi tuko pamoja tena hakuna kingine nahitaji katika hii dunia.
Hongereni sana, huwa napenda sana kuona wawili wakipendana na kutendeana ya upendo kwa sababu kwenye kipindi fulani kwenye maisha yangu niliyaishi hayo ya upendo hata kama hatukufikia lengo naapreciate, ni best ever kama ujawahi fikia level hii huwezi kunielewa namaanisha nini.

Upendo ulikuwepo, amani ilikuwepo, furaha ilikuwepo, heshima ilikuwepo na kupishana pia kulikuwepo ili kudhihirisha kuwa upendo upo kwa kuwekana sawa na kusameheana.
 
Hongera sana cute...,pendo lenu lizidi kuchanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…