Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

Diamond...anasema kampende babaako
Dear to yeye.

Kumwambia mtu nakupenda yafaa ujue nini maana ya upendo.

Upendo ni kuheshimiana/kumheshimu.
Kujamiana/kumjali mtu.
Kuthaminiana/Kumthamini.

Sasa vijana tumeamua kutumia neno nakupenda ili kupata Hapo katikati ya maungo ya mwanamke (sis wakiume)
Na mwanamke anatumia nakupenda pia ili achungulie kilichopo kwenye wallet na faida nyinginezo.

Utapeli mtupu/wizi mtupu
 
Nasi tunampenda mtu ili tupate tamu,kama tamu huna inakubidi ugharamike mkuu
 
Sikuzote,nilishapotezea mahusiano jf...si unakumbuka nikaja fall kwa mwingine kumbe alikuwaga wa mwingine akaniaminisha nikaishia kuonekana nabania penzi la watu...sahivi nipo na wa mtaani Glenn huku unaambulia kuumia
Mama/dada yangu mapenzi hayana kanuni, hilo ulilopitia sio kosa kabisa na usijutie.
Jf ina watu wazuri mnoo.
Kuna mabinti wazuri wa sura moyo kabisa.

Kuna wanaume pia wema, udivunjwe moyo na mtu.

Ingekuwa inafaa kuwapigia watu kampeni yaani kuna mabinti humu ningewapigia kampeni waolewe na watu wema kabisa.
 
Kabisa leo nimejifunza kitu kwenye comment yake 1 anasema mwananume usioe kama una hela utateseka.
Mkuu mimi huwa sikosei unaweza kushangaa binti mapepe lkn nikakwambia ni mwema.

Huwa najifunza kwanza ana moyo wa namna gani.
To yeye ana lugha za kihuni but ni mtu mwema sana sana
 
Mkuu mimi huwa sikosei unaweza kushangaa binti mapepe lkn nikakwambia ni mwema.

Huwa najifunza kwanza ana moyo wa namna gani.
To yeye ana lugha za kihuni but ni mtu mwema sana sana
🤣🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom