mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
mkuu hebu jaribu kuwa mtu wa romance sana kabla ya sex!!Mkuu huyu wakwangu haka kamchezo kapo tangu tunaanza mausiano, na nizaidi ya miezi 5 ilopita. Mwanzoni nilijuwa atakuja kuacha lakini haiwi na mm nshachoka kuskia vilio wakati wa makatiko, maana mzyuka unachelea
ushiboy ulipata selection au la?Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
mkuu hebu jaribu kuwa mtu wa romance sana kabla ya sex!!
make it atlist kwa dakika 30!
zungumzeni yale mazungumzo ya kimahaba zaidi, vuta concetration, ikiwezekana muwe ile zero distance with very light cloths!
ukiona sasa vimeiva, pakua ule!!
KUMBUKA KUTUMIA CONDOM!!
wakati nimemjibu kutokana na maelezo yake, toka!!!
Bado, nikimpata taku pm
!
!
easy, akisema anaumia chomoa then nenda nje kachukue mchanga kilo moja unaumwaga chini halafu mwambie akojoe kwenye huo mchanga. akifanikiwa kuchimba kishimo jua kweli anaumia ila akiulowesha bila kishimo jua ni swaga tu.
Too personal mbona? Au nimezeeka?
!
!
easy, akisema anaumia chomoa then nenda nje kachukue mchanga kilo moja unaumwaga chini halafu mwambie akojoe kwenye huo mchanga. akifanikiwa kuchimba kishimo jua kweli anaumia ila akiulowesha bila kishimo jua ni swaga tu.