Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
Analia mbwembwe tu😂
 
Umri wako tafaadhal
 
Mimi mwanamke akisema anaumia na mood ya kufanya mapenzi huishia hapo hapo
 
Back
Top Bottom