Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
 
kama anaumia na huwa hataki utoke basi ni mbwembwe tu style yake hiyo .... ila kama anaumia na anataka utoke we unakomaa hapo si sawa kabisa kwa sababu si mazoezi hayo aisee....
 
huyo ni malaya tena wa kutupwa anatafuta njia ya kukuibia tupe mali ulizonazo ndio tukupe ushauri yawezekana ukawa mnene hufanyi chochote anaona bora aigie ili ufahamu kuwa unamfurahisha kumbe ujinga mtupu tu
ukiwa na hela hata tigo atakula umasikini na hali ya kutofikiria unawatesa sana wanawake wa dunia hii wanavumbua kila aina ya njia
 
Teh..teeh...., nimekusoma mkuu
 
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
Saa ulizoandika sred inaonyesha aidha mmemaliza au mnataka kuanza. Pole ndugu yangu
 
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu

Kwani mkuu unapomtekenya mtu husemaje? Kama hataki vile, anakuzuia af huku anafurahia....sasa hii mambo ni kama pale unapo mtekenya mtu....all in all ni kama unakula sukuma wiki...ule uchungu ndio utamu wenyewe.
 
kama anaumia na huwa hataki utoke basi ni mbwembwe tu style yake hiyo .... ila kama anaumia na anataka utoke we unakomaa hapo si sawa kabisa kwa sababu si mazoezi hayo aisee....

Asante kwa kupa uzoefu wako mkuu
 
Wizi mtu mtu anaumia kisha unamsikia hhhhsssss aaaaaaa maumivu gani hayo uwongo mtupu
 
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu

mkuu inaonekana mtu wako huyo hajawahi fanya mapenzi kwa muda mrefu!

so anakuwa kama ana ka-ubikra fulani hivi..!!

jaribu kuwa unaenda kwa slow, slow.... slow motion!

ukipiga kwa kasi unaharibu!
 
Back
Top Bottom