Neno Refu: Andika Msamiati mrefu unaoujua

Neno Refu: Andika Msamiati mrefu unaoujua

Lugha ya Kiswahili imepitia michakato mingi mpaka kupata maneno ya lugha ya Kiswahili. Kuna ukakaishaji, udondoshaji, uyeyushaji n.k
Hivyo basi kabla ya michakato hapo juu tulikuwa na maneno kama vile
-waalimu, waanafunzi, mutu, mwongo n.k japo haya maneno yanakubalika na kueleweka lkn kwa sasa hatutumii maneno haya ambayo yapo ktk umbo la ndani.
-Muongo, walimu, wanafunzi, mtu
*Nafikiri umenielewa ndugu yangu
 
Methionylthreonylthreonylglutaminylalanylisoleucine
- It is the longest English word. The longest known word in English, is the chemical name of titin. Titin is the largest known protein. This word takes roughly 3 hours to pronounce
 
Hatuna neno kama hili ktk lugha ya Kiswahili.
Hapa umefanya kosa la kisarufi la kuongeza viambishi visivyohitajika mwishoni mwa neno.
Ndugu yangu kuna kukua kwa Lugha na kuenea kwa Lugha

Kuna tamathali za semi na mbinu za kisanaa ktk Lugha

Kuna Usanifu katika Lugha na Ufasaha ktk Lugha

Kuna Nahau na Methali pamoja na Vitendawili katika Lugha

Kuna Rejesta na Misimu pamoja na Misemo ktk Lugha

Kitu hakuna kwenye Lugha ni hicho ulichokileta Wewe... Siasa katika Lugha!
 
Methionylthreonylthreonylglutaminylalanylisoleucine
- It is the longest English word. The longest known word in English, is the chemical name of titin. Titin is the largest known protein. This word takes roughly 3 hours to pronounce
Three hours!
 
Ndugu yangu kuna kukua kwa Lugha na kuenea kwa Lugha

Kuna tamathali za semi na mbinu za kisanaa ktk Lugha

Kuna Usanifu katika Lugha na Ufasaha ktk Lugha

Kuna Nahau na Methali pamoja na Vitendawili katika Lugha

Kuna Rejesta na Misimu pamoja na Misemo ktk Lugha

Kitu hakuna kwenye Lugha ni hicho ulichokileta Wewe... Siasa katika Lugha!
Nenda kasome. Makosa ya kisarufi na kimantiki ndiyo utaelewa na maanisha nini.
Lugha yyte duniani inakua kufuata taratibu na kanuni zilizopo na zilizorasmishwa.
Aise pole sana. Kwa akili zako unafikiri maneno kama nakuonaga, linanisumbuaga, ela, alafu, mwongo, mutu, waalimu, waanafunzi, na meneno mengine yanayofanana na hayo yapo sahihi? Unafikiri kuwepo kwa maneno haya ndiyo ushahidi lugha inakua? Unafikiri ndiyo misimu? Km unataka kulazimisha neno linanisumbuaga lipo sahihi basi hiyo ni siasa ktk lugha. Bishana kwa fact ndugu na siyo uandike na ww uonekane umecomment JF.
Hoja zote ulizoziandika, huzijui umeandika kwa sbb ulisoma kitambo sana. Hilo neno halipo ila una lazimisha tu liwepo. Kwa hiyo na neno xana nalo ni misimu? Hivyo vipengele ulivyoviandika nenda tena ukasome kisha urudi hapa tubishane kwa fact.
 
Habari za Muda huu;
Kuna maneno mengine ni marefu sana kiasi kwamba hata utamkaji wake ni shida kwa baadhi ya watu

Mfano mimi neno limenisumbuaga sana kwa urefu wake ni
Australopithecus

Andika na wewe neno refu (Msamiati mrefu) unaoujua kwa Lugha ya Kiswahili na/au Kiingereza
Nina mashaka na uandishi wako. Nafikiri somo la Kiswahili ulilikimbia darasani. Uzi wako haujafuata alama za uandishi. Umeandika andika tu. "/au'' sijui ni vitu gani? Pole sana. Usibishane na ww uonekane. Kumbuka JF kuna watu wa kila aina na taaluma zao kwahiyo uwe makini na mtu unayebishana naye la sivyo utaumbuka.
Uandishi wako hautofautiani na mwanafunzi anayesoma darasa la pili.
 
Back
Top Bottom