Neno Refu: Andika Msamiati mrefu unaoujua

Neno Refu: Andika Msamiati mrefu unaoujua

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,442
Habari za Muda huu;
Kuna maneno mengine ni marefu sana kiasi kwamba hata utamkaji wake ni shida kwa baadhi ya watu

Mfano mimi neno limenisumbuaga sana kwa urefu wake ni
Australopithecus

Andika na wewe neno refu (Msamiati mrefu) unaoujua kwa Lugha ya Kiswahili na/au Kiingereza
 
Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis (forty-five letters) is lung disease caused by the inhalation of silica or quartz dust.
Kah! Nadhani hili ni zaidi ya yote!
 
Ngoja madaktari waje kutuandikia majina ya dawa + magonjwa utakimbia mwenyew
 
Back
Top Bottom