Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief, usichanganye kuna ngeli mbili unachanganya
Ipi kati ya hizi
Yu-A-Wa au A - Wa
mkuu sijachanganya ndo maana nkasema ngeli ya kwanza Yu-a-waChief, usichanganye kuna ngeli mbili unachanganya
Ipi kati ya hizi
Yu-A-Wa au A - Wa
mtoto /KTusaidie na mfano
Mkuu naona umesahau kuwa ngeli inaendana na kitenzi. Je majini ni kitenzi?mkuu sijachanganya ndo maana nkasema ngeli ya kwanza Yu-a-wa
kwa maana napata mifano kama
samaki yu-majini, samaki yu-mtamu
samaki ameharibika, samaki yu- bei juu
kwa mimi naona vipashio vyote vya yu na a vinakubali nimemweka hapo
[emoji115][emoji115][emoji115]Chief, ni hivi ngeli ya YU - A - WA matumizi yake huwa na mbadala yaani isipotumika YU kwenye umoja basi itatumika A, lakini kwenye wingi ndio itatumika WA.
Mfano:
Mtoto yualishwa
Mwalimu yuafundisha
Mzee yuazeeka
Hii ngeli ya YU - A - WA ipo kilahaja zaidi na sio kiswahili sanifu kwani si katika hali ya kawaida kumkuta mtu anatumia neno yualishwa, yualia, yuafundisha au yuanakula badala ya kutumia analishwa, analia, anafundisha, anakula.
Kwa Tanzania baadhi ya maeneo ya mwambao pamoja na maeneo ya Visiwa vya Zanzibar, sana sana kisiwani Pemba ndio inatumika lahaja hiyo (lafudhi).
[emoji115][emoji115]Mkuu naona umesahau kuwa ngeli inaendana na kitenzi. Je majini ni kitenzi?
mkuu sijachanganya ndo maana nkasema ngeli ya kwanza Yu-a-wa
kwa maana napata mifano kama
samaki yu-majini, samaki yu-mtamu
samaki ameharibika, samaki yu- bei juu
kwa mimi naona vipashio vyote vya yu na a vinakubali nimemweka hapo