Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Hongera mhenga!!2008 o'level na high level 2011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mhenga!!2008 o'level na high level 2011
[emoji1]Hongera mhenga!!
Nilimaliza O'level 2000[emoji2954][emoji1]
Uko vizuri. Hata hivo wazee wa zamani mlipenda shule tofauti na sisi wa siku hizi. Ndio maana bado unakumbuka shule yako vizuriNilimaliza O'level 2000[emoji2954]
Wewe! Mi sio mzee, ni kijana mwenzio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Uko vizuri. Hata hivo wazee wa zamani mlipenda shule tofauti na sisi wa siku hizi. Ndio maana bado unakumbuka shule yako vizuri
Wanasemaga wazee wanapenda kuwaita vijana 'vijana' na kudemand shikamoo mpaka huyo kijana ni bint. Ukimwamkia shikamoo mzee atasemaa aah mi sio mzee[emoji1][emoji1]Wewe! Mi sio mzee, ni kijana mwenzio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hao ni wazee! Ila mimi bado ni kijana, tena below 40. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Wanasemaga wazee wanapenda kuwaita vijana 'vijana' na kudemand shikamoo mpaka huyo kijana ni bint. Ukimwamkia shikamoo mzee atasemaa aah mi sio mzee[emoji1][emoji1]
Ujana mwisho 35[emoji1787][emoji1787]Hao ni wazee! Ila mimi bado ni kijana, tena below 40. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sijafika huko bado. Ujana mwisho 45.Ujana mwisho 35[emoji1787][emoji1787]
Viumbe hai ISIPOKUWA mimea wote wako kwenye ngeli ya A-WA.Wakuu,
Neno Samaki lipo kwenye ngeli ipi?
Je ni ngeli ya a-wa
Au ngeli ya i-zi
Ahsante
[emoji3][emoji3]Kati ya vitu ambavyo sikuwahi kuvielewa kabisa Hadi leo ni hiyo Ngeli, Kama ingelikuwa Multiple choice afu akaweka machaguo kuwa samaki ipo Ngeli ipi akaweka na moja ya chaguo et Ngeli ya majini ningechagua Hilo jibu!!
Mi nilikuwa nikisikia Vishazi tu napotea class!!Tukumbushe mkuu,Vishazi na virai
[emoji23][emoji23][emoji23],kweli hata kiima na kiarifu nimeshasahau itabidi tuanzishe Uzi wa kuulizia hivi vitu aiseeMi nilikuwa nikisikia Vishazi tu napotea class!!
Ndugu Kiswahili kigumu utaanza na Kishazi... mara Kirai...mwisho utataka tuje kwenye Kiima na Kiarifu...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Kishazi ni tungo inayotawaliwa na kitenzi. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile.[emoji23][emoji23][emoji23],itabidi tuanzishe Uzi wa kuulizia hivi vitu aisee
Ha haa hapa ungetoa na mfano kidogo tueleweKishazi ni tungo inayotawaliwa na kitenzi. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile.
Kirai ni kipashio kidogo cha kimuundo chenye neno moja au zaidi ambacho hakina muundo wa kiima (K) na kiarifu(A). Kirai huwa na neno kuu moja kinalotawala.
Kati ya vitu ambavyo sikuwahi kuvielewa kabisa Hadi leo ni hiyo Ngeli, Kama ingelikuwa Multiple choice afu akaweka machaguo kuwa samaki ipo Ngeli ipi akaweka na moja ya chaguo et Ngeli ya majini ningechagua Hilo jibu!!
Tukumbushe mkuu,Vishazi na virai
Mi nilikuwa nikisikia Vishazi tu napotea class!!
Ndugu Kiswahili kigumu utaanza na Kishazi... mara Kirai...mwisho utataka tuje kwenye Kiima na Kiarifu...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mkimaliza kukumbushana virai na vishazi, mnitag niwafundishe "Ujumi mweusi"Kishazi ni tungo inayotawaliwa na kitenzi. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile.
Kirai ni kipashio kidogo cha kimuundo chenye neno moja au zaidi ambacho hakina muundo wa kiima (K) na kiarifu(A). Kirai huwa na neno kuu moja kinalotawala.