Neno "tia" linatakiwa litumike wapi katika Kiswahili fasaha?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu wa pwani katika mambo mengine mbambali mfano mapishi, "tia chumvi", "tia nazi", "tia mafuta" n.k

Siku za hivi karibuni nimeshangaa linatumika hadi na mashabiki kwenye mpira!, hivi majuzi nimesikia "toa Musonda, tia Pacome!"

Huu msamiati wa neno tia una maana gani hasa na unatakiwa utumike katika muktadha gani katika Kiswahili fasihi?
 
Inategemea na muktadha neno tia linaweza kumaanisha tómba au weka

Mfano
1. John alimtia Aisha (hapa tia limetumuka kama kitendo cha kuingiza uume kwenye uke)
2. John alitia maji (hapa tia imetumika kama kitendo cha kuweka)
 
Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu wa pwani katika mambo mengine mbambali mfano mapishi, "tia chumvi", "tia nazi", "tia mafuta" n.k

Siku za hivi karibuni nimeshangaa linatumika hadi na mashabiki kwenye mpira!, hivi majuzi nimesikia "toa Musonda, tia Pacome!"

Huu msamiati wa neno tia una maana gani hasa na unatakiwa utumike katika muktadha gani katika Kiswahili fasihi?
Tena kuna kutia nia.....
Tia means to "put inside"
 
Back
Top Bottom