Neno toilet paper ni code ambayo serikali inaweza kukufanya ukazani unawafurahisha ufanikiwe.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokupo hapo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4

Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable MamaSamia2025 na n.k mnajua mfano wa ndungai mnavyo jitutumua hapa JF.Hipo siku wakimaliza kazi zao watawaona kama polepole

🚮🚮
 
Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo.

kwahiyo kuna CIA Tanzania au umeamua tu kutunga hekaya, story na porojo za kujaribu kuwahadaa wadua wa JF kwa chuki binafsi na makasiriko nonsense dhidi ya uzalendo wa wataalamu waandamizi wa masuala ya demokrasia nchini na wachambuzi wabobevu wa masuala ya kisiasa humu jukwaani?

ni muhimu kujiepusha na upotoshaji mwepesi kama huo gentleman :NoGodNo:
 
wewe ndio kinara mkuu wa upotoshaji ofisi ya ccm
 
Wanaona sifa,lakini muda ni mwalimu mzuri,pia hakuna jambo lisilo na mwisho,pia kila baya lina malipo yake hapa hapa duniani,pia ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga,pia heri nusu shari kuliko shari kamili,pia ukiona bahari imevurugika fahamu kunasababu iliyopelekea bahari hiyo kuvurugika,pia bandu bandu huisha gogo,dalili ya mvua ni mawingu,historia inamtindo wa kujirudia
My take
Political mercenarist ninawaonya wakati ni mwalimu mzuri hii historia mbaya tunayoitengeneza kupitia maumivu ya wengi eidha kwa kujua au kutokujua ninawaonya tena mtailipia kwa namna mbaya sana.
 
Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4

Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable MamaSamia2025 na n.k mnajua mfano wa ndungai mnavyo jitutumua hapa JF.Hipo siku wakimaliza kazi zao watawaona kama polepole

Mods futeni hii takataka
 
Back
Top Bottom