🚮🚮Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokupo hapo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4
Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable MamaSamia2025 na n.k mnajua mfano wa ndungai mnavyo jitutumua hapa JF.Hipo siku wakimaliza kazi zao watawaona kama polepole
kwahiyo kuna CIA Tanzania au umeamua tu kutunga hekaya, story na porojo za kujaribu kuwahadaa wadua wa JF kwa chuki binafsi na makasiriko nonsense dhidi ya uzalendo wa wataalamu waandamizi wa masuala ya demokrasia nchini na wachambuzi wabobevu wa masuala ya kisiasa humu jukwaani?Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4
Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable MamaSamia2025 na n.k mnajua mfano wa ndungai mnavyo jitutumua hapa JF.Hipo siku wakimaliza kazi zao watawaona kama polepole
wewe ndio kinara mkuu wa upotoshaji ofisi ya ccmkwahiyo kuna CIA Tanzania au umeamua tu kutunga hekaya, story na porojo za kujaribu kuwahadaa wadua wa JF kwa chuki binafsi na makasiriko nonsense dhidi ya uzalendo wa wataalamu waandamizi wa masuala ya demokrasia nchini na wachambuzi wabobevu wa masuala ya kisiasa humu jukwaani?
ni muhimu kujiepusha na upotoshaji mwepesi kama huo gentleman
Mods futeni hii takatakaKuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo.