Neno/Ujumbe kwa wanaume wote

Nakataa! Kuna mwenye upendo wa dhati, kuna mwenye uwezo ila anakubali kuolewa na kapuku kwa kitu "upendo wa dhati"
 
Inategemea,wengine tunapendwa zaidi na wake zetu kuliko wazazi wetu.
 
Na wewe ukiwa huna tako utapendwa na Bibi yako tu maana anajua amepata mtu wa kumrithisha mikoba yake..πŸ˜…
 
Mamako mwenyewe labda uwe peke ako mkiwa weng utasimangwa weeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…