mbona wanaajiri sana tu! mwaka jana walitangaza ngorongoro nafasi kibao lakini ilikuwa kama fomality kwani huenda walichukua kinyemelaNilikuwa nasikia tu kuhusu ajira za kujuana ktk sekta ya maliasili km TANAPA, NGORONGORO, WIZARANI nk, sasa naanza kuamini kwani tangu nimeanza kusoma wildlife mwaka wa kwanza mpaka sasa nimemaliza sijaona matangazo ya kazi za UHIFADHI sehemu hizi, je hawaajiri?
Kuajiri wanaajiri sana tu, sema mara nyingi nafasi wanazotangaza tayari zinakuwa na watu so wanatangaza kitu kisichokuwepo na tena ripot ya CAG ilionesha kuwa waliajiri kazi nyingi na wala hawakutangaza hizo nafasi.