Nepotism sekta ya maliasili.

Nepotism sekta ya maliasili.

kimaus

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
582
Reaction score
707
Nilikuwa nasikia tu kuhusu ajira za kujuana ktk sekta ya maliasili km TANAPA, NGORONGORO, WIZARANI nk, sasa naanza kuamini kwani tangu nimeanza kusoma wildlife mwaka wa kwanza mpaka sasa nimemaliza sijaona matangazo ya kazi za UHIFADHI sehemu hizi, je hawaajiri?
 
Mbona nafasi zimetangzwa mara nyingi tu, labda hujafuatilia. Even last year Ngorongoro walitangaza nafazi za Finance Officer..au sijui ulikuwa unamaanisha nini. try to explain more
 
mbona wanaajiri sana tu! mwaka jana walitangaza ngorongoro nafasi kibao lakini ilikuwa kama fomality kwani huenda walichukua kinyemela
mwaka huu kwenye mwezi wa pili walitangaza nafasi hapo wizarani, kilichonishangaza ni kuwa deadline ilikuwa ni tarehe hiyohiyo ya tangazo,,
nilifanikiwa kuomba lakini hadi hii leo sijui nini kiliendelea au ndo yale yale ya kujuana?
 
Siku hizi afadali kidogo,ukiwa na sifa waweza bahatisha.
 
Kuajiri wanaajiri sana tu, sema mara nyingi nafasi wanazotangaza tayari zinakuwa na watu so wanatangaza kitu kisichokuwepo na tena ripot ya CAG ilionesha kuwa waliajiri kazi nyingi na wala hawakutangaza hizo nafasi.
 
Hii inaweza kushadidia kabisa hoja ya kuwepo "nepotism" katika ajira za wizara ya maliasili na utalii pamoja na idara zilizoko chini yake.
 
Ndugu acha hisia na misemo ya mtaani,jamaa wanatangaza kazi ila kama unasoma magazeti ya udaku na michezo hutoziona.
 
Mbona nafasi zimetangzwa mara nyingi tu, labda hujafuatilia. Even last year Ngorongoro walitangaza nafazi za Finance Officer..au sijui ulikuwa unamaanisha nini. try to explain more
<br />
<br />
 
Namaanisha kazi za UHIFADHI, Finance officer sio mhifadhi, watu wanaohusika na wildlife, sio engineers, accountants au Drivers.
 
Back
Top Bottom