Nestory Irankunda mchezaji wa Tanzania anayeliliwa na Bayern Munich

kuwa na asili ya tanzania hamfanyi kuwa mchezaji wa tanzania bana, sisi tunajizibia riziki wenyewe wako wengi kama hao na wanataman kucheza tanzania ila mmekataa uraia pacha yaan eti uyo ache uraia wa australia aje kuwa mtanzania sio rahisiiii aseee
 
Watanzania tumekuwa na tabia za kikenya!.
 
kuwa na asili ya tanzania hamfanyi kuwa mchezaji wa tanzania bana, sisi tunajizibia riziki wenyewe wako wengi kama hao na wanataman kucheza tanzania ila mmekataa uraia pacha yaan eti uyo ache uraia wa australia aje kuwa mtanzania sio rahisiiii aseee

Kama masuala ya uraia pacha ndiyo uchochoro wa kutaka aje kuchezea Taifa stars basi acheze huko huko, hatumtaki kuja huku!
 
Wazazi wake ndo wakimbizi.yeye kazaliwa Tanzania kwenye kambi ya wakimbizi.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kwa sheria zetu si Raia wa Tanzania hata kama alizaliwa Tanzania.
Binti wa Kitanzania akizaa na mkimbizi mtoto wake hawezi kuwa Mtanzania. Watoto wa Kitanzania waliozaliwa na watanzania waishio nje ya nchi yetu mfano mabalozi, hawawezi kugombea kiti cha Urais Tanzania. Hizo ndizo sheria zetu kwa uchache. Irankunda aombe uraia wa Tanzania kama alivyofanya Kib D
 
Hii nchi inaongozwa na viongozi wa ajabu sana. Miaka nenda wanakataa uwepo wa uraia pacha, kwa sababu zao tu za kipuuzi.

Tungekuwa na uraia pacha, mpaka muda huu tungekuwa na mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali; ikiwemo hii ya michezo.
 
Sijui kwa nini wanakataa ila kwenye michezo tungekuwa mbali sana.
 
Ana passport ya nchi gani?
 
Umeona kuna sehemu yoyote imetajwa Burundi kwenye wasifu wake?
 
Attachments

  • Screenshot_20231116_085924_Samsung Internet.jpg
    89.3 KB · Views: 3
Weka reference ya hiyo sheria
 
Kama masuala ya uraia pacha ndiyo uchochoro wa kutaka aje kuchezea Taifa stars basi acheze huko huko, hatumtaki kuja huku!

Hajaomba uraia pacha. Usimlishr maneno. Kwanza yule ni mrundi Wala sio mtanzania.
 
Adelaide yenyewe inachana kweli mikeka, adelaide gani unaiongelea mpaka aitwe bongo?
 
Mrundi huyo na hawezi Rudi tena kucheza huku maana tayar ni raia wa Australia na keshacheza timu ya taifa ya vijana.
Timu ya taifa ya vijana ni sawa, bado anaweza kuitumikia Taifa Stars kama ataitwa na akakubali, akicheza timu ya taifa ya wakubwa ndo basi ila ya vijana sheria inaruhusu
 
Kuna Mkenya kajifungua hapa Tz ,mtoto ni raia wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…