Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Mbona SAMIA NA ROSTAM AZIZI TUNADAI NI RAIASometimes tuone aibu.
Ni lini Sheria za Tanzania ziliwatambua wakimbizi na kizazi chao kama Raia wa Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona SAMIA NA ROSTAM AZIZI TUNADAI NI RAIASometimes tuone aibu.
Ni lini Sheria za Tanzania ziliwatambua wakimbizi na kizazi chao kama Raia wa Tanzania?
kuwa na asili ya tanzania hamfanyi kuwa mchezaji wa tanzania bana, sisi tunajizibia riziki wenyewe wako wengi kama hao na wanataman kucheza tanzania ila mmekataa uraia pacha yaan eti uyo ache uraia wa australia aje kuwa mtanzania sio rahisiiii aseeeView attachment 2815046
NESTORY IRANKUNDA, kutoka Wilayani Kasulu, Kigoma, Tanzania mpaka Australia ambapo leo anahitajika na Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani! Ndoto za Nestory Irankunda ni kuitumikia Tanzania kwa kuivaa jezi ya Taifa Stars.
Ni Mwanasoka ambaye ana uwezo na ubora wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, Nestory Irankunda alizaliwa na kulelewa kambi ya Wakimbizi pale mkoani Kigoma! Bahati mbaya sana kijana wetu hajaitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars, anaitumikia klabu ya Adelaide United ya nchini Australia.
Hii ni another talent kubwa mno mno inastahili sana kuiwakilisha bendera ya Tanzania.
kuwa na asili ya tanzania hamfanyi kuwa mchezaji wa tanzania bana, sisi tunajizibia riziki wenyewe wako wengi kama hao na wanataman kucheza tanzania ila mmekataa uraia pacha yaan eti uyo ache uraia wa australia aje kuwa mtanzania sio rahisiiii aseee
Kwa sheria zetu si Raia wa Tanzania hata kama alizaliwa Tanzania.Wazazi wake ndo wakimbizi.yeye kazaliwa Tanzania kwenye kambi ya wakimbizi.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Alafu tunajipapiza ni mtz, angekuwa mtizedi si angeichagua tz, hii kitu ya kujipendekeza kwa raia wanaohusishwa na tz tuache.Yaani aache kuchezea timu zinazoongozwa na Professionals kuanzia mpishi, mfagizi alafu aje achezee Taifa stars inayoongozwa na Wanasiasa.
Huyu mpange yule asipangwe 🙌
Sijui kwa nini wanakataa ila kwenye michezo tungekuwa mbali sana.Hii nchi inaongozwa na viongozi wa ajabu sana. Miaka nenda wanakataa uwepo wa uraia pacha, kwa sababu zao tu za kipuuzi.
Tungekuwa na uraia pacha, mpaka muda huu tungekuwa na mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali; ikiwemo hii ya michezo.
Katiba ya nchi yako ni tofauti na ya Marekani.
US. Hata ukizalia kwenye ndege au meli iliyowekwa chata yao wewe ni Mmarekani bila kujali ilikuwa imepaki wapi mda huo.
Huyu kijana na wazazi wake hawakupewa uraia wa Tanzania.
Achana na ule uongo wa civics ya form one ya citizen by birth.
Ana passport ya nchi gani?Katiba ya nchi yako ni tofauti na ya Marekani.
US. Hata ukizalia kwenye ndege au meli iliyowekwa chata yao wewe ni Mmarekani bila kujali ilikuwa imepaki wapi mda huo.
Huyu kijana na wazazi wake hawakupewa uraia wa Tanzania.
Achana na ule uongo wa civics ya form one ya citizen by birth.
Umeona kuna sehemu yoyote imetajwa Burundi kwenye wasifu wake?Katiba ya nchi yako ni tofauti na ya Marekani.
US. Hata ukizalia kwenye ndege au meli iliyowekwa chata yao wewe ni Mmarekani bila kujali ilikuwa imepaki wapi mda huo.
Huyu kijana na wazazi wake hawakupewa uraia wa Tanzania.
Achana na ule uongo wa civics ya form one ya citizen by birth.
Weka reference ya hiyo sheriaKwa sheria zetu si Raia wa Tanzania hata kama alizaliwa Tanzania.
Binti wa Kitanzania akizaa na mkimbizi mtoto wake hawezi kuwa Mtanzania. Watoto wa Kitanzania waliozaliwa na watanzania waishio nje ya nchi yetu mfano mabalozi, hawawezi kugombea kiti cha Urais Tanzania. Hizo ndizo sheria zetu kwa uchache. Irankunda aombe uraia wa Tanzania kama alivyofanya Kib D
Kama masuala ya uraia pacha ndiyo uchochoro wa kutaka aje kuchezea Taifa stars basi acheze huko huko, hatumtaki kuja huku!
Umeona kuna sehemu yoyote imetajwa Burundi kwenye wasifu wake?
Timu ya taifa ya vijana ni sawa, bado anaweza kuitumikia Taifa Stars kama ataitwa na akakubali, akicheza timu ya taifa ya wakubwa ndo basi ila ya vijana sheria inaruhusuMrundi huyo na hawezi Rudi tena kucheza huku maana tayar ni raia wa Australia na keshacheza timu ya taifa ya vijana.
Kuna Mkenya kajifungua hapa Tz ,mtoto ni raia wa TanzaniaKatiba ya nchi yako ni tofauti na ya Marekani.
US. Hata ukizalia kwenye ndege au meli iliyowekwa chata yao wewe ni Mmarekani bila kujali ilikuwa imepaki wapi mda huo.
Huyu kijana na wazazi wake hawakupewa uraia wa Tanzania.
Achana na ule uongo wa civics ya form one ya citizen by birth.
Edit na wewe.alafu weka hapaWikipedia mtu yeyote anaweza kuedit