Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF.
Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua kuliweka wazi suala hilo ili kila mtu ajuee kuwa mpaka sasa hajapata msaada wa silaha kutoka Marekani na huenda hali ikawa mbaya zaidi kwa siku zijazo kwakuwa kuna uwezekano kuanza kwa vita na kundi la Hezbollah kutoka Lebanon 🇱🇧 ambao wamekuwa wakiendelea kushambulia kaskazini mwa Israeli kila uchao.
Marekani yupo mtegoni kupeleka silaha Israeli kutokana na kukwepa kupoteza kura na kundi kubwa la wananchi hasa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana na kupinga upelekaji wa silaha nchini humo.
Tumuombee Benjamin Netanyahu anapitia hali ngumu sana kwa sasa. Kile kiburi alichokuwa nacho dhidi ya marekani kwa sasa kimeisha inabidi apige magoti tu hakuna namna.