Netanyahu alia na Marekani kuhusu msaada wa silaha. Miezi minne sasa imepita msaada hakuna

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF.

Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua kuliweka wazi suala hilo ili kila mtu ajuee kuwa mpaka sasa hajapata msaada wa silaha kutoka Marekani na huenda hali ikawa mbaya zaidi kwa siku zijazo kwakuwa kuna uwezekano kuanza kwa vita na kundi la Hezbollah kutoka Lebanon πŸ‡±πŸ‡§ ambao wamekuwa wakiendelea kushambulia kaskazini mwa Israeli kila uchao.

Marekani yupo mtegoni kupeleka silaha Israeli kutokana na kukwepa kupoteza kura na kundi kubwa la wananchi hasa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana na kupinga upelekaji wa silaha nchini humo.

Tumuombee Benjamin Netanyahu anapitia hali ngumu sana kwa sasa. Kile kiburi alichokuwa nacho dhidi ya marekani kwa sasa kimeisha inabidi apige magoti tu hakuna namna.

 
Tafsiri yake hapa ni kwamba USA ameishiwa silaha za kutoa/kugawa.

Asubiri kwanza wafanye uzalishaji ndio atapatiwa.
 
Vita sio lelemama, muda mfupi tu amekonda mzee wa watu
 
americant na israhell wanafiq na wasanii sana mbwa hawa
hakuna silaha imezuiwa kupelekwa israhell hakuna
americant akisimamisha kweli hilo zoezi week tu hakutakua na israhell
 
Ina Maana wao wenyewe hawana hata kiwanda kimoja Cha silaha? Si wazalishe wenyewe, yaani nchi imezungukwa na maadui kadhaa halafu iwe inategemea silaha kutoka nje, hii sio kweli wanaigiza tuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ina Maana wao wenyewe hawana hata kiwanda kimoja Cha silaha? Si wazalishe wenyewe, yaani nchi imezungukwa na maadui kadhaa halafu iwe inategemea silaha kutoka nje, hii sio kweli wanaigiza tuu
Wana viwanda vichache ila na vyenyewe kwa sasa havizalishi maana Hezbollah wamevipiga mabomu lakini pia kwa sasa Yemen wamezuia usafirishaji wa malighafi kwenda israeli meli yeyote itakayokatiza red sea au Mediterranean inapigwa rocket.
 
Netanyahu anampigia kampeni Biden. Ionekane kwa sasa Marekani yupo na wapalestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…