Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita.

Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans."

Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews. Every few weeks I make great efforts to integrate them into our society."
 
Upuuzi mtupu
 
Urusi wamemwaga mboga hivi juzi kati na kutoboa siri kwamba Yesu alikuwa ni mtu mweusi...pia mfalme Daudi...pia Abrahamu...Isaka....Yakobo....pia Musa...
"Time will tell".
 
Hata wa masaai ni Jews pia
Kabisa...
Makabila yote yenye ufugaji..wasukuma...watutsi...wazulu....wachagga( hawa mifugo wanakaa nayo ndani kama hori alipozaliwamo masia)
 
Hatutaki mwambie akwende zake huko! Kwanza anatukomboa kwenye jambo gani hasa wakati sisis ndo tunatakiwa tukamkomboe kabla hajaangamia zaidi
 
Urusi wamemwaga mboga hivi juzi kati na kutoboa siri kwamba Yesu alikuwa ni mtu mweusi...pia mfalme Daudi...pia Abrahamu...Isaka....Yakobo....pia Musa...
"Time will tell".
Kwa hiyo hizi siri Urusi ndio wanazo? Yesu katokea Middle East na kabla ya kuwa na mchangamano mkubwa wa kijamii, hivyo humtarajii awe mweusi au mzungu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…