Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

Wale mafalasha wa Ethiopia ambao ni wayahudi mbona wakienda huko Israel wanawatimua ,wengine wanawahasi ili wasizaliane
 
atamkomboa jews gani wakati washabobea kwenye ushoga,hakuna jews atakayeweza kumkomboa jews mwenzie maana wote hawana malinda
 
Urusi wamemwaga mboga hivi juzi kati na kutoboa siri kwamba Yesu alikuwa ni mtu mweusi...pia mfalme Daudi...pia Abrahamu...Isaka....Yakobo....pia Musa...
"Time will tell".
kwamba Urusi ndo walikwepo enzi hizo za Yesu? Urusi hii ya juz tu ? kiweni serious asee

hizi kauli ilibidi zisemwe na Misri au Uchina au Mongol au uturuki au Roma
 
Baadhi ya Wa Afrika ukiacha South Afrika, Senegal, Gambia, Mali, Benin, Kenya, wengine wote inabidi waludishwe utumwani, mpaka akili ziwakae sawa,
 
fursa iyo,mjanja mmoja ataanzisha kanisa la ukombozi kutoka israel apige pesa zake,wafuasi wengine washapatikana humu.

Africa shithole countries ina watu wajinga kupindukia.😁
 
kwamba Urusi ndo walikwepo enzi hizo za Yesu? Urusi hii ya juz tu ? kiweni serious asee

hizi kauli ilibidi zisemwe na Misri au Uchina au Mongol au uturuki au Roma
Juzi ni lini...???.....majina hubadilika tu urusi zamani iliitwa "Rus"kati ya karne ya 9 mpaka 13.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…