Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #21
Wewe punguani unaandika uharo mtupu wasome Waisrael wenyewe.Wewe ndo BURE KABISA, huo ulikuwa muunganiko kwa ajili ya vita ndo maana linaitwa baraza la vita na siyo Serikali. Nishakwambia jipe muda kuwa unajihabarisha kuliko kucopy na kupaste. Huyo Gantz chama chake kina viti vinne tu. Tafuta vingine vya kukufurahisha na siyo hivyo.
Kwa taarifa kuna vyama kama Zionist Party walikuwa wanaitaka hiyo nafasi. Kama mambo hayatabadirika tegemea hicho chama kuungana na Bibi ndo hali itakuwa mbaya zaidi. Halafu kama hujui baadhi ya waisrael wanashukuru alivyoondoka wakiamini kwa sasa serikali itakuwa na umoja kwa sabbu baadhi walikuwa wanamuona kama msaliti.
Jielimishe maana hata hicho unachokitetea hukijui
⚡️ Former #Israeli Defense Minister Moshe Yaalon:
- The imaginary, corrupt government lost its legitimacy with the departure of Gantz and Eisenkot
_ The government that led to the worst security failure in our history has no mandate or desire to get us out of the crisis
_The government cannot make a decision about ending the war and releasing the hostages
_The government cannot make a decision about ending the war and releasing the hostages
_We will take to the streets to hold elections as quickly as possible in order to save the country from destruction
Jinga kabisa wewe ufahamu lolote unadhani BENNY GANTZ peke yake ndiyo anaachia ngazi nimecheka huo uchambuzi wako😅😅