Netanyahu and his partners are out of touch with reality

Wewe punguani unaandika uharo mtupu wasome Waisrael wenyewe.

โšก๏ธ Former #Israeli Defense Minister Moshe Yaalon:

- The imaginary, corrupt government lost its legitimacy with the departure of Gantz and Eisenkot

_ The government that led to the worst security failure in our history has no mandate or desire to get us out of the crisis

_The government cannot make a decision about ending the war and releasing the hostages

_The government cannot make a decision about ending the war and releasing the hostages

_We will take to the streets to hold elections as quickly as possible in order to save the country from destruction

Jinga kabisa wewe ufahamu lolote unadhani BENNY GANTZ peke yake ndiyo anaachia ngazi nimecheka huo uchambuzi wako๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wanamkibia Netanyahu apembane peke yake hali tete.
Ingekuwa upande wa pili angekatwa kichwa usiku huu huu kwa ku-ritadi! Don't you see the difference?
 
Wafungwa wanne waliachiliwa, 3 waliuawa na watu wanne waliojiuzulu sana katika historia ya israeli walifanywa siku hii.

Benny Gantz (Baraza la Vita)
Gadi Eisenkot (Baraza la Vita)
Avi Rosenfeld (Kamanda wa Kitengo cha Gaza)
Haley Tropper (Waziri)

Israeli inabomoka.

Nimecheka eti hawa wasaliti๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Waisrael weusi wana vituko.
 
Kilicho fanya ajiuzuru ni baada ya kushindwa kujua ni malengo yapi hasa aliyo nayo Netanyau kwenye vita ya gaza inayo endelea.
Anacho taka yeye ni kutaka kujua nini hatima ya mwisho wa vita ya gaza ambapo msimamo wake ni kama ule wa waziri wa ulinzi.
Sasa Netanyau yeye hatamani vita ya Gaza hiishe kwa sababu anajua kabisa kuwa kuendelea kwa vita ya gaza ndo inayo linda madaraka yake kwa sasa na kinga ya kutoenda jela.
 
"Israeli minister Benny Gantz resigns from war cabinet in blow to Netanyahu | CNN" https://edition.cnn.com/2024/06/09/...tion-post-war-plan-gaza-intl-latam/index.html
 
Wanamkibia Netanyahu apembane peke yake hali tete.
Haha wamemuona kichaa amefurahi kukomboa matekwa wanne bada ya miezi 9 hio ni aibu kubwa tena kwa kutumia US Special force Delta na Special force yao commander wao akaliwa shaba ๐Ÿ˜„
 
 
Haha wamemuona kichaa amefurahi kukomboa matekwa wanne bada ya miezi 9 hio ni aibu kubwa tena kwa kutumia US Special force Delta na Special force yao commander wao akaliwa shaba ๐Ÿ˜„
BREAKING: WAZIRI WA ZAMANI WA ULINZI WA ISRAEL MOSHE YAโ€™ALON KAULI RASMI

- "Tutaingia barabarani kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo ili kuokoa nchi kutokana na uharibifu.

- Serikali fisadi, isiyo halali imepoteza uhalali wake kwa kuondoka kwa Gantz na Eisenkot.

- Serikali, ambayo ilisababisha kutofaulu vibaya zaidi kwa usalama katika historia yetu, haina mamlaka wala hamu ya kutuondoa kwenye shida.

-Serikali haiwezi kufanya maamuzi kuhusu kukomesha vita na kuwaachilia mateka."
 
Pole sana
Kwa sababu hakuna unachojua zaidi ya C&P
Haya endelea kuenjoy
Wewe unajua nini cha maana zadi ya kuandika uharo vita vipo Gaza lazima tutumie C&P unataka tukusome wewe unaandika ujinga wa fikra zako eti BEN-GVIR wanamuona msaliti wamefuraahi kaondoka huu uharo kuna mtu atakusoma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Acha uongo wewe mlokole wapi kasema anataka kuchukua nafasi ya Nentanyahu?

Kasema hii hiviโ€ฆ

Ninatoa wito kwa Netanyahu kutangaza tarehe ya uchaguzi na kuunda kamati ya uchunguzi kuhusu shambulio la Oktoba 7.

Tuwekee hiyo kauli aliyosema anataka kuchukua nafasi ya Netanyahu hata uchaguzi bado kuna vyama vingi vyote bado hajaweka wagombea wa Waziri Mkuu wewe unakuja na porojo punguani kweli wewe.
 
Hicho ninachokijua tofauti na wewe uliyeshikiwa akili. Fuatilia siasa za Israel kabla ya kuja kuropoka. Kilichowaunganisha hao ni tukio la mwaka jana lakini ni maadui wakubwa. Jielimisheni matusi hayasaidii
Vipi nimeshikiwa akili? Hebu nipe technology ipi unayo kichwani kwako kujua mimi nimeshikiwa akili.

Hujioni kama chizi vile unaongea kitu hukijui.

Sawa wacha ni kuwache we ndio unajua siasa za Israel kuliko sisi, haya tuambie lini mtashinda vita ๐Ÿ˜„
 
Kuweka malengo wazi ndo kutaleta picha halisi ni namna ya kumaliza vita.
Kiufupi waziri wa ulinzi na makamanda wengi wamesha mwambia Netanyau kuwa kurudisha mateka kwa njia ya mapigano haiwezekani,ila kwa Netanyau anaona akikubali tu kuingia makubaliano ya kuachiwa kwa mateka na kufikisha mwisho vita hiyo na yeye madaraka yake kama waziri mkuu yanaishia hapo na kwenda jera kutokana na shutuma za ufisadi zinazo mkabili.Na ndio maana yuko tiyari kufanya chochote kuhakikisha vita ya gaza inadumu kwa muda mrefu kadili iwezekanavyo.
Kiufupi hii vita ipo kwa ajili ya kumlinda Netanyau kisiasa na sio kuilinda Israel na ndio maana wenzake wameanza kumkimbia.

Mfano operation iliyo fanyika jana ya kuokoa mateka iliyo fanyika jana ndo imedhihirisha hilo,katika hali na akili ya kawaida huwezi kwenda kuuwa watu 270 na upoteze asikali 10 eti kwa ajili ya kuokoa watu 4.
Na ndio maana unaona mpaka washirika wa Israel wameshindwa kuipongeza operation hiyo kwa sababu wanaona aibu ,jana kansera wa Ujerumani aliandika kwenye mtandao wa X kupongeza operation hiyo lakini badae akaufuta ujumbe huo baada ya kugundua madhara yaliyo sababishwa na operation hiyo.

Na tutokana operation hiyo Hamas wamejifunza hivyo usitegemee Israel atakuja kufanya operation ya aina hiyo afanikiwe zaidi ya kuhatarisha maisha ya mateka na asikali.
 
Ndo maana nasema hujui siasa za Israel. Endelea kucopy na kupaste.
Jielimishe, vyanzo vipo vingi. Kabla ya kufirahia na kuanza kutukana ungejipa muda kumfahamu Gantz na uhusiano wake na Netanyahu.
Anyway pole na nisamehe sijua kwamba kazi yako ni C&P
Benny Gantz, Gadi Eisenkot na Hili Tropper hawa wote kawatoa National Unity alikuwa anajua atakuwa anawaburuza kutokana na uchanga wao hawezi kuchukuwa watu Labor Party na kuwapa nafasi za juu anajua hawezi kuwaburuza, sasa usijione kuwa unajua kila kitu kuhusu Israel kila mtu anajua siasa Israel kwa hiyo usidanganye watu.
 
Netanyahu kama kashindwa kufanya kazi na Benny Gantz anakwenda kuanguka akishirkiana na kina Yesh Atid lazima hawasikilize wao au Labor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ