Netanyahu and his partners are out of touch with reality

Kinacho muweka njia panda Netanyau ni jinsi ya kulinda madaraka yake na sio malengo ya vita ndani ya gaza.
Anajua kabisa kuwa vita ikiisha hatakuwa na namna nyingine ya kulinda madaraka yake.
Hii vita inaigharimu sana Israel kiuchumi na kidipromasia na ndio maana baadhi ya wanasiasa ndani ya Israel wanataka ifike mwisho.
Tena baadhi ya wanasiasa ndani ya Israel kwenyewe wanamlaumu Netanyau kuwa ndo chanzo cha kuichochea Hamas atekeleze shambulizi la October 7 kwa sababu ya sera zake dhidi ya wapalestina.
 
Unajua kwanini wameandika moderate? Kwa sababu hatoki kwenye vyama vyenye msimamo mkali vya kiyahudi kama cha Netanyau.
Chukueni muda kujielimisha siyo tu kuishi C&P ndo maana mnashikiwa akili
Unatetea nini!?.. maana una maelezo mengi ya peke yako yasiyoeleweka, CNN nao Wana c&p Kama unavyodai!?.. ukweli wa mambo ni gantz kaona wamefeli na raia wanaandama muda Sasa,wewe upo kimara unaona tofauti
 
Netanyahu maliza kabisa hao magaidi wa Hamas
Mtu akianza kukimbiwa na waziri wa vita wakati yupo vitani ni dhahiri ameshashindwa hivyo vita ,na tulisema kuhusu gants tangu mwanzo kwamba alisema netanyahu hana vision ya hii vita leo kamuachia kikombe chake akinywe mwenyewe
 
Hapo mnajidanganya, hakuna waziri mkuu wa Israel ambaye atakubali matakwa ya Hamas, hao akina Gantz wanatumia vita hii kisiasa, na kama nchi iko vitani hakuna uchaguzi mpaka vita iishe, Yizark Rabin alikuwa ameshaubali kiundwe taifa la Palestinians lakini tunajua kilichokuta. Hata Gantz amehusika sana kuua wapalestina kipindi akiwa ni mkuu wa majeshi ya Israel , waziri yoyote atakayekuja hawezi kuondoa jeshi la Israel Gaza na kubali masharti ya hamasi.
 
Ushauri wangu kwako Ritz na wengine msijivunie kwa Ben Gantz kujiuzulu, kwasababu msimamo wake ni kwamba Netanyahu ni goigoi kwenye kuwashughulikia HAMAS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…