Netanyahu anusurika baada ya shambulio la drone ya magaidi wa Hezbollah wakati wa ziara yake kaskazini ‘ya Israel

Netanyahu anusurika baada ya shambulio la drone ya magaidi wa Hezbollah wakati wa ziara yake kaskazini ‘ya Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
NETANYAHU ANUSURIKA BAADA YA SHAMBULIO LA DRONE YA MAGAIDI WA HEZBOLLAH WAKATI WA ZIARA YAKE KASKAZINI ‘YA ISRAEL. Waziri Mkuu wa 'Israel' Benjamin Netanyahu amenusurika dhidi ya shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah wakati alipotembelea mji wa kaskazini mwa 'Israel'.

Netanyahu alikuwa akitembelea mji wa kaskazini wa 'Israel' wa Shlomi dakika 30 kabla ya ving'ora vya tahadhari kuzinduliwa kutokana na shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah, kulingana na taarifa ya ofisi ya Waziri Mkuu iliyotolewa kwa "The Times of Israel". Netanyahu hakujeruhiwa na aliondoka eneo hilo salama, taarifa hiyo inaongeza. NETANYAHU COMES CLOSE TO HEZBOLLAH DRONE ATTACK DURING VISIT TO NORTH ‘ISRAEL. ‘Israeli’ Prime Minister Benjamin Netanyahu came close to a Hezbollah drone attack during a visit to a town in northern ‘Israel’.

Netanyahu was visiting the northern ‘Israeli’ town of Shlomi 30 minutes before warning sirens were launched due to a Hezbollah drone attack, according to a statement by the premier’s office given to “The Times of Israel”.

Netanyahu was uninjured and left the area safely, the statement adds

1780588732269.jpg
 
Amenusurika si mlidai amekufa ? kobaz manina zenu..
 
Back
Top Bottom