Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuuma eenh?Kwa umri wako kuandika uzi wa kipuuzi kama huu ni sawa na kutembea kkoo huku umevaa chupi kichwani.
Kwanini Usa aweke hio pressure? Ingekua Israel wanashinda Usa angeweka hio pressure?Hizi propaganda tulianza nazo kitambo sana. Na bado israel wameendelea kutuchapa tu na kuharibu miji yote . Al Jazeera wanaongea wakiwa wana wataalamu. Sisi huku toka mwanZo tunaaminishana kwa propaganda.
View attachment 3164178
Imenisikitisha mwanamke mwenye rika la mama mkwe wangu anabwabwaja ujinga mitandaoni.Imekuuma eenh?
Wataalam wa mambo ya dunia, walishasema, huu ndiyo mwisho wa mazayuni mashariki ya kati:
View: https://youtu.be/EKuCoSQ4dOo?si=jcew6fJK7jtkufcV
Kwanini Usa aweke hio pressure? Ingekua Israel wanashinda Usa angeweka hio pressure?
Rudi nyuma tetesi ya Waziri na Netanyahu kutofautiana na hadi waziri kufukuzwa ni Waziri kumwambia ukweli Netanyahu kwamba wanaisha Lebanon wanapigwa kule. Imefika stage mpaka wanajeshi wa reserve wakawa wanaitwa sio siri.
Israel anapigana Frontline nyingi why Usa waweke pressure specific Kwa Hezbollah na sio Houth, Gaza, Syria na kwengineko?
Hii pressure mbona hawajaisikia kule Ghaza ni kwamba Lebanon wamesagwa sagwa sana hao kenge
Hezbollah wapo hoi. Hamas usiseme.sisi wa huku ndo bado tunakuwa tunahesabu ushindi.Hii pressure mbona hawajaisikia kule Ghaza ni kwamba Lebanon wamesagwa sagwa sana hao kenge
Sasa wapo hoi ila wamesizi faya mbona hawajasizi faya kwa hamasHezbollah wapo hoi. Hamas usiseme.sisi wa huku ndo bado tunakuwa tunahesabu ushindi.
Mnaoshabikia vita mnajiona kama mnajua sana kumbe ni upuuzi tu.yale magofu yaliyopo kule Lebanon na Hasa mnaona ni ufahari sana.acheni kushabikia Udini kwani madhara yake ni mabaya.kuweni makini na hayo mambo na acheni ushabiki wa kipuuziKile kichapo cha juzi kilikuwa balaa, Hezbollah sio mchezo.
Lakini, hati ya mashtaka iliyotolewa na ICC kwa Natanyahu na Gallant pia ilichangia kuwalazimu Israel kuridhia kusitisha mapigano.
Hezbollah nimewapa heshima kwa kutowaacha ndugu zao Gaza vitani peke yao wakati ambao dunia nzima ilikaa pembeni kushuhudia mauaji ya halaiki!
Hassan Nasrallah aendelee kupumzika kwa amani.
Hii ndiyo sababu kuu,Biden na Macron walikuwa wamemchoka.hati ya mashtaka iliyotolewa na ICC kwa Natanyahu na Gallant pia ilichangia
Unafaham kiingereza?Sasa wapo hoi ila wamesizi faya mbona hawajasizi faya kwa hamas
Wewe umefahamuje kwenye hiko kilugha ulokiletaUnafaham kiingereza?View attachment 3164207View attachment 3164208
Tukubali ukweli ALLAH kachemka! Anashindwa hata kuwatetea wanawake na watoto! Mifano ni hii:Kma kawaida yao, mazayuni hawajakisahau kichapo
Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah.
hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani.
Kweli, walitimiza lengo hilo baada ya kuwatandika bomu moja tu wamarekani hapo Beirut Lebanon. Walisambaratisha makao makuu ya kivita ya mashariki ya kati ya wamarekani walioikita hapo beirut wakiamini kuwa mazayuni na wao hakuna anaeweza kuwafanya chochote.
Mammbo yakawa kinyume na matarajipo yao baada ya kuanzishwa kikundi cha hebollah. Wakabamizwa bomu moja tu, wakatoka mkuku wao na mashoga zao wa kizayuni. Lebanon ikarudi kwa watawatawala wake wa kiasili.
Mazayuni na wamarekani tukio lilel liliwauma sana, hawakulisahau, mazayuni kwa kusaidiwa na wamarekani wakaivamia tena Lebanon, kama walivyofanya juzi juzi. Iliwachukuwa siku sita kuikamata lebanon yote. Wakijiaminisha kua hakuna ataewafanya kitu kwa wakati huo, walijisahau na kudhani kuwa walishawadhibiti hezbollah. Kinyume na matarajio yao, hezbollah wakalianzisha tena mwaka 2006, wakawatembezea kichapo mazayuni mpaka wakakikmbia kabisa na kurudi kwenye ardhi za wapalestina wanazozikalia kwa mabavu. Kwa lugha ya sasa, tunasema wakalitema bungo.
Kma kawaida yao, mazayuni hawajakisahau kichapo na hivi juzi juzi bita yao na kikundi kidogo cha hamas na silaha za wamarekeani na NATO nzima zikawafanya wajone kuwa hakuna wakuwazuia sasa kuiteka Lebanon.
Afanaalek, kufa hakuna breki. Hezbollah kama kawaida yao na kutimiza azma ya kuansishwa kwao, wakaanza kwamyofoa mazayuni huko lebanon, kuona sasa wamewadhibiti na hakuna watachiokifanya huko, wakaanza kuwanyofoa "kwao" mazayuni, kichapo walichotembezewa kimefanya netanyau ale matapishi wake. kwani aliwahi kusema "kukubali kusitisha mapigano" ni kusalimu amri kuwa tumeshindwa, hilo halitatokea.
Tunauliza kiko wapi? Ushahidi wa niliyoyaandika. Haya ndiyo mayapisha aliyoyameza nyau:
View: https://youtube.com/shorts/7GyeA2uKKdE?si=qaWL-ONlF9W6DOVi