Netanyahu asalimu amri baada ya kichapo cha Hezbollah

Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah.

hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani.

Kweli, walitimiza lengo hilo baada ya kuwatandika bomu moja tu wamarekani hapo Beirut Lebanon. Walisambaratisha makao makuu ya kivita ya mashariki ya kati ya wamarekani walioikita hapo beirut wakiamini kuwa mazayuni na wao hakuna anaeweza kuwafanya chochote.

Mammbo yakawa kinyume na matarajipo yao baada ya kuanzishwa kikundi cha hebollah. Wakabamizwa bomu moja tu, wakatoka mkuku wao na mashoga zao wa kizayuni. Lebanon ikarudi kwa watawatawala wake wa kiasili.

Mazayuni na wamarekani tukio lilel liliwauma sana, hawakulisahau, mazayuni kwa kusaidiwa na wamarekani wakaivamia tena Lebanon, kama walivyofanya juzi juzi. Iliwachukuwa siku sita kuikamata lebanon yote. Wakijiaminisha kua hakuna ataewafanya kitu kwa wakati huo, walijisahau na kudhani kuwa walishawadhibiti hezbollah. Kinyume na matarajio yao, hezbollah wakalianzisha tena mwaka 2006, wakawatembezea kichapo mazayuni mpaka wakakikmbia kabisa na kurudi kwenye ardhi za wapalestina wanazozikalia kwa mabavu. Kwa lugha ya sasa, tunasema wakalitema bungo.

Kma kawaida yao, mazayuni hawajakisahau kichapo na hivi juzi juzi bita yao na kikundi kidogo cha hamas na silaha za wamarekeani na NATO nzima zikawafanya wajone kuwa hakuna wakuwazuia sasa kuiteka Lebanon.

Afanaalek, kufa hakuna breki. Hezbollah kama kawaida yao na kutimiza azma ya kuansishwa kwao, wakaanza kwamyofoa mazayuni huko lebanon, kuona sasa wamewadhibiti na hakuna watachiokifanya huko, wakaanza kuwanyofoa "kwao" mazayuni, kichapo walichotembezewa kimefanya netanyau ale matapishi wake. kwani aliwahi kusema "kukubali kusitisha mapigano" ni kusalimu amri kuwa tumeshindwa, hilo halitatokea.

Tunauliza kiko wapi? Ushahidi wa niliyoyaandika. Haya ndiyo mayapisha aliyoyameza nyau:

View: https://youtube.com/shorts/7GyeA2uKKdE?si=qaWL-ONlF9W6DOVi

wee sema hizibula wameinua mikono kuisaidia gaza baada ya kupata kipondo kikali Cha Yahudi! Gaza ni yatima!😭😭
Kipondo Cha kuigeuza Gaza kifusi kinaendelea😆😆😆
👇👇
Maandishi halisi
Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google

Al Jazeera
See this story on our app
VIEW IN APP
LIVE
Sign up
Open the menu

Updates: At least 84 killed in Gaza; Israel resumes raids across Lebanon

UN should consider suspending Israel over genocide, says special rapporteur
By Alastair McCready, Dalia Hatuqa, Urooba Jamal, Tamila Varshalomidze and Federica Marsi
Published On 1 Nov 2024
1 Nov 2024
Click here to share on social media
This live page is now closed. You can continue to follow our coverage here.

Read more
1 Nov 2024 - 23:59 (23:59 GMT)
Thank you for joining us
This live page is now closed.

For more on why is Israel targeting Lebanon’s ancient city of Baalbek, check out our explainer here.

View our photo gallery to see how Israel is targeting hospitals in Gaza, as medical supplies are torched and operations disrupted, here.

To know why the UN should consider suspending Israel over the genocide of Palestinians in Gaza and its decades-long illegal occupation of Palestinian land, go here.

Click here to share on social media
1 Nov 2024 - 23:45 (23:45 GMT)
Here’s what happened today
We will be closing this live page soon but before we do that, here is a recap of the day’s main developments:

Two Israeli attacks on residential buildings in northern Gaza killed 84 Palestinians, including over 50 children.
Pentagon says the US will deploy additional ballistic missile defence destroyers, fighter squadron and tanker aircraft, and several US Air Force B-52 long-range strike bombers to the Middle East.
Israel says it has killed senior Hamas official Izz al-Din Kassab in an air strike in Khan Younis.
Senior Hamas officials say Israel is not taking the Gaza ceasefire negotiations seriously, offering a temporary truce that falls short of demands for a permanent halt to the war.
Israeli strikes in Lebanon’s Baalbek-Hermel region killed 52 people and wounded 72.
The UN peacekeeping chief says UNIFIL will hold its line in Lebanon despite facing attacks in recent weeks, adding that its positions would be “occupied” if it left.
Click here to share on social media
Advertisement

1 Nov 2024 - 23:30 (23:30 GMT)
Turkey sends 1,000 tonnes of humanitarian aid to Lebanon
A Turkish ship carrying 1,000 tonnes of humanitarian aid has arrived at Beirut’s port, bringing vital supplies to Lebanon amid ongoing Israeli attacks.

The aid, organised by Turkish NGOs operating in Lebanon, included food supplies, medical equipment and essential goods aimed at assisting vulnerable citizens, Turkey’s Anadolu news agency reported.

This was the third shipment from Turkey to reach Lebanon. On October 9, two ships delivered 300 tonnes of humanitarian supplies.

The Turkish ship arrives at Beirut Port carrying aid containers [Ibrahim Amro/AFP]
Click here to share on social media
1 Nov 2024 - 23:15 (23:15 GMT)
What’s happening in the occupied West Bank?
A group of armed Israeli settlers opened fire and threw rocks at the homes of Palestinians in the town of Surif near Hebron in the occupied West Bank.

Additionally, the Israeli army raided the town of Faroun near Tulkarem and opened fire and tear gas canisters on Palestinians, Wafa news agency reported.

The report added that Israeli forces also prevented Palestinian farmers from harvesting olives in the town of Deir Istiya in northwestern Salfit.

Israeli settlers also started a fire in the Ramin Plain area in eastern Tulkarem.

Since October of last year, more than 760 Palestinians have been killed in the occupied West Bank by Israeli forces and settlers.

Click here to share on social media
1 Nov 2024 - 23:00 (23:00 GMT)
Blinken reviews Israel’s steps to increase Gaza aid in call with Israeli minister
US Secretary of State Antony Blinken has spoken with Israel’s Minister of Strategic Affairs Ron Dermer to discuss steps for regional de-escalation, the US State Department said.

They reviewed the steps Israel has taken to improve the humanitarian situation in Gaza and Blinken urged for further measures to
 
ALLAH,alipochemsha kuwasaidia wanawake na watoto, hao wanaoitwa MAKAFIRI wakatoa msaada!

Arrest warrants issued for Netanyahu, Gallant and Hamas commander over alleged war crimes​

Israel, Hezbollah agree to ceasefire brokered by US and France, to take effect Wednesday​

Israel-Hezbollah ceasefire deal agreed, confirms Biden​

ALLAH,ALLAH, ALLAH ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE????
 
Mazayuni wamechapika vibaya sana na Hizbullah.
Makamanda wote wa kizayuni wameuwawa hakuna aliyebaki hata mmoja.Hata waliobaki wanaishia kukataa kuwa viongozi wa kizayuni.
Allah awawie radhi makamanda wa kizayuni akina Nasrallah na wenziake waendelee kufurahia bikra zao huko Jannat
Takbirrr ✊ walahi hatukubali 👊
 
Anasema
ALLAH,ALLAH, ALLAH ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE????
Yahudi hayupo kwenye huo mkataba!
muham mad aka allah hamumuamini Aliposema!
👇👇
وَإِذَا لَقُوا الَّذِينَ آمَنُوا قَالُوا آمَنَّا وَإِذَا خَلَوْا إِلَىٰ شَيَاطِينِهِمْ قَالُوا إِنَّا مَعَكُمْ إِنَّمَا نَحْنُ مُسْتَهْزِئُونَ

[ AL - BAQARA - 14 ]
Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.
 
Yahudi hayupo kwenye huo mkataba!
Kwani Yahudi na kafiri tofauti yao nini?? Huoni hao wanaoitwa makafiri wamewasaidia wanawake na watoto kwenye vita kwa kuandaa mkataba huku ALLAH akiwa kajificha!
 
Kwanini Usa aweke hio pressure? Ingekua Israel wanashinda Usa angeweka hio pressure?

Rudi nyuma tetesi ya Waziri na Netanyahu kutofautiana na hadi waziri kufukuzwa ni Waziri kumwambia ukweli Netanyahu kwamba wanaisha Lebanon wanapigwa kule. Imefika stage mpaka wanajeshi wa reserve wakawa wanaitwa sio siri.

Israel anapigana Frontline nyingi why Usa waweke pressure specific Kwa Hezbollah na sio Houth, Gaza, Syria na kwengineko?
Wewe kumbe ni mtupu kweli!! Hakuna unalolijua.

Hukui hata kwa nini mataifa hupigana.

Vita yoyote ile inalenga kutengeneza mazingira ya kushinikiza matakwa yake, ambayo lazima yaishie kwenye mazungumzo. Maana unaamini kuwa kwa kuomba tu muongee, haiwezekani.

Hata hao Hamas waliwateka wayahudi ili kutengeneza mazingira ya kusikilizwa, siyo kwamba lengo lao lilikuwa ni kuua tu wayahudi na kiishi na mateka.

Hezbollah mwanzoni walisema kuwa hawataacha kuishambulia Israel mpaka Israel iache kuwashambulia wapalestina. Na Israel ikasema haiwezi kuacha kuwapiga Hamas. Lakini kipigo ilichokipata Hezbollah, imewafanya kuwa wapole, wamekubali Hamas wafe pekee yao, wao hawataishambulia tena Israel, na Hezbollah wataondoka eneo lote linalokaribia mpaka na Israel. Na hayo ndiyo Israel iliyokuwa inayataka.

Au wewe unaamini Israel ilitaka iishi kwenye vita na Hezbollah, milele?

Hapa ni Israel iliyofanikiwa kupata ilichokitaka. Hezbollah hawajafanikiwa hata jambo moja katika malengo yao, lakini kipigo kimewafanya wasiwe na chaguo jingine.
 
Muwe mnaangalia na wa kuwadanganya. Uongo huu wa kijinga ni tofauti na wanachosema al jazeera.

View attachment 3164175
Unatakiwa ujiulize why did America pressured ceasefire in Lebanon!?
Una akili ndogo kama za siafu.
Mbona hiyo USA haiku pressurize ceasefire Gaza!?
USA imeshinikiza usitishwaji wa mapigano kwasababu imeshaona inapoelekea Israel itakuja kuharibika vibaya.
Juma moja lililopita Hizbollah wameshambulia ndani ya Tel Aviv na madhara yakaonekana.
Hii vita ilishamtoka mikononi Israel.
Na kitendo Cha Netanyahu kukubali ceasefire kinaonesha ameshindwa vita,maana mwanzo alisema hatoweka silaha chini hadi raia warudi kaskazini na Hizbollah iteketezwe.
Mbona Gaza ceasefire alikataa na anaikubali Lebanon !?
 
Wewe kumbe ni mtupu kweli!! Hakuna unalolijua.

Hukui hata kwa nini mataifa hupigana.

Vita yoyote ile inalenga kutengeneza mazingira ya kushinikiza matakwa yake, ambayo lazima yaishie kwenye mazungumzo. Maana unaamini kuwa kwa kuomba tu muongee, haiwezekani.

Hata hao Hamas waliwateka wayahudi ili kutengeneza mazingira ya kusikilizwa, siyo kwamba lengo lao lilikuwa ni kuua tu wayahudi na kiishi na mateka.

Hezbollah mwanzoni walisema kuwa hawataacha kuishambulia Israel mpaka Israel iache kuwashambulia wapalestina. Na Israel ikasema haiwezi kuacha kuwapiga Hamas. Lakini kipigo ilichokipata Hezbollah, imewafanya kuwa wapole, wamekubali Hamas wafe pekee yao, wao hawataishambulia tena Israel, na Hezbollah wataondoka eneo lote linalokaribia mpaka na Israel. Na hayo ndiyo Israel iliyokuwa inayataka.

Au wewe unaamini Israel ilitaka iishi kwenye vita na Hezbollah, milele?

Hapa ni Israel iliyofanikiwa kupata ilichokitaka. Hezbollah hawajafanikiwa hata jambo moja katika malengo yao, lakini kipigo kimewafanya wasiwe na chaguo jingine.
We ndo kilaza usiejua lolote linalopiganwa wala kinachozungumzwa.

Kuna mambo mawili hapa
1. Vita vya IDF na Hezbollah
2. Ground invasion ya IDF lebanon.

Ground invasion ya IDF Lebanon ndio inayotambulika na UN resolution 1701 hii ndio imefikiwa kwamba Israel anaondoa Jeshi Lebanon, baada ya kushindwa kuteka hata kijiji na jeshi lao kupata Heavy casualties kwa miezi kadhaa.

So UN resolution 1701 imekuwa achieved na Israel wataondoka Lebanon, hili linafanya Vita inarudi pale pale ilipokua mwanzo kabla ya Israel kuvamia Lebanon ila haimaanishi Hezbollah ama IDF wataacha kushambuliana.

Sijui umeelewa ama uendelee kutafuniwa?
 
Unatakiwa ujiulize why did America pressured ceasefire in Lebanon!?
Una akili ndogo kama za siafu.
Mbona hiyo USA haiku pressurize ceasefire Gaza!?
USA imeshinikiza usitishwaji wa mapigano kwasababu imeshaona inapoelekea Israel itakuja kuharibika vibaya.
Juma moja lililopita Hizbollah wameshambulia ndani ya Tel Aviv na madhara yakaonekana.
Hii vita ilishamtoka mikononi Israel.
Na kitendo Cha Netanyahu kukubali ceasefire kinaonesha ameshindwa vita,maana mwanzo alisema hatoweka silaha chini hadi raia warudi kaskazini na Hizbollah iteketezwe.
Mbona Gaza ceasefire alikataa na anaikubali Lebanon !?
Screenshot_2024-11-28-11-51-22-050_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-11-28-11-51-41-783_com.android.chrome.jpg
 
Mazayuni wamechapika vibaya sana na Hizbullah.
Makamanda wote wa kizayuni wameuwawa hakuna aliyebaki hata mmoja.Hata waliobaki wanaishia kukataa kuwa viongozi wa kizayuni.
Allah awawie radhi makamanda wa kizayuni akina Nasrallah na wenziake waendelee kufurahia bikra zao huko Jannat
Sarcastic 😂😂
 
Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah.

hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani.

Kweli, walitimiza lengo hilo baada ya kuwatandika bomu moja tu wamarekani hapo Beirut Lebanon. Walisambaratisha makao makuu ya kivita ya mashariki ya kati ya wamarekani walioikita hapo beirut wakiamini kuwa mazayuni na wao hakuna anaeweza kuwafanya chochote.

Mammbo yakawa kinyume na matarajipo yao baada ya kuanzishwa kikundi cha hebollah. Wakabamizwa bomu moja tu, wakatoka mkuku wao na mashoga zao wa kizayuni. Lebanon ikarudi kwa watawatawala wake wa kiasili.

Mazayuni na wamarekani tukio lilel liliwauma sana, hawakulisahau, mazayuni kwa kusaidiwa na wamarekani wakaivamia tena Lebanon, kama walivyofanya juzi juzi. Iliwachukuwa siku sita kuikamata lebanon yote. Wakijiaminisha kua hakuna ataewafanya kitu kwa wakati huo, walijisahau na kudhani kuwa walishawadhibiti hezbollah. Kinyume na matarajio yao, hezbollah wakalianzisha tena mwaka 2006, wakawatembezea kichapo mazayuni mpaka wakakikmbia kabisa na kurudi kwenye ardhi za wapalestina wanazozikalia kwa mabavu. Kwa lugha ya sasa, tunasema wakalitema bungo.

Kma kawaida yao, mazayuni hawajakisahau kichapo na hivi juzi juzi bita yao na kikundi kidogo cha hamas na silaha za wamarekeani na NATO nzima zikawafanya wajone kuwa hakuna wakuwazuia sasa kuiteka Lebanon.

Afanaalek, kufa hakuna breki. Hezbollah kama kawaida yao na kutimiza azma ya kuansishwa kwao, wakaanza kwamyofoa mazayuni huko lebanon, kuona sasa wamewadhibiti na hakuna watachiokifanya huko, wakaanza kuwanyofoa "kwao" mazayuni, kichapo walichotembezewa kimefanya netanyau ale matapishi wake. kwani aliwahi kusema "kukubali kusitisha mapigano" ni kusalimu amri kuwa tumeshindwa, hilo halitatokea.

Tunauliza kiko wapi? Ushahidi wa niliyoyaandika. Haya ndiyo mayapisha aliyoyameza nyau:

View: https://youtube.com/shorts/7GyeA2uKKdE?si=qaWL-ONlF9W6DOVi

💥 Gaza destroyed, 1.5 million Gazans live in tents. Haniyeh killed, Sinwar dead.
Hamas:
We are winning!

💥 South Lebanon destroyed, Hezbollah leadership all dead, Nasrallah dead, 5,000 pagers explode, thousands lose fingers and balls
Hezbollah:
We are winning!

💥 300 Iranian ballistic missiles kill a single man - a palestinian, Haniyeh killed in Tehran, air defense destroyed, secret nuclear testing facility destroyed
Islamic Republic of Iran:
We are winning!
 
Kwanini Usa aweke hio pressure? Ingekua Israel wanashinda Usa angeweka hio pressure?

Rudi nyuma tetesi ya Waziri na Netanyahu kutofautiana na hadi waziri kufukuzwa ni Waziri kumwambia ukweli Netanyahu kwamba wanaisha Lebanon wanapigwa kule. Imefika stage mpaka wanajeshi wa reserve wakawa wanaitwa sio siri.

Israel anapigana Frontline nyingi why Usa waweke pressure specific Kwa Hezbollah na sio Houth, Gaza, Syria na kwengineko?
Unajua sababu ya USA na western allies ku pressure israel wasimamishe ?
well israel ilikwua imevuka mipaka, walipelekea janga la kitaifa. Na kama si kuleta genocide
US na wenzie hataki kubeba lawama na pia sababu za kiuchumi, hataki kuwa na multiple war fronts, hawawez affford kwa sasa and so wenzie, kama wangemuacha israel aendelee , walikuwa wana overrun lebanon na kuleta majanga zaidi,
US alijua mapema hili, na si kweli kwamba israel anashindwa, hezbollah walikwua wamesogezwa nyuma sana
 
Hii sababu ya kipuuzi we mwenyewe ukiifikiria mara mbili unajua haimake sense. Kati ya Gaza na Lebanon wapi kuna Genocide kubwa, wapi wanawake na watoto wengi wameuliwa? Kama lengo la Usa na Ulaya ni ku stop hayo mauaji wangeanza na Gaza huko ndio kuna vita kubwa na Casualties nyingi ila hawaja stop huko why Lebanon? Na leo kuna Report Israel na vibaraka wake Wana Advance kwenda Allepo Syria.

So tunajua sababu Si mauaji ya halaiki wala Sababu sio Front nyingi. Sababu ni kwamba wamepigwa tena Sio kitoto, kuua Watu kwa Mamia level ya Kanali, luten na sajenti si jambo la kitoto, Hezbollah wanaanza ku release video nyingi za mwezi huu namna walivyowaua, Merkava tu si chini ya 70 zimelipuliwa, wabaki Lebanon wakati wanaisha?

Pia si kweli eti Hezbollah wamesogezwa nyuma kwa miezi miwili Israel haja Tengeneza Buffer zone hata moja, kasogea km 7 tu tena kisehemu kimoja, sipendi tu kudhalilisha watu ILa kuna Mamia ya video yanakuwa released na Hezbollah sasa hivi ni Aibu IDF wanavyopigwa, kubalini tu mmeshindwa.
 
Kile kichapo cha juzi kilikuwa balaa, Hezbollah sio mchezo.

Lakini, hati ya mashtaka iliyotolewa na ICC kwa Netanyahu na Gallant pia ilichangia kuwalazimu Israel kuridhia kusitisha mapigano.

Hezbollah nimewapa heshima kwa kutowaacha ndugu zao Gaza vitani peke yao wakati ambao dunia nzima ilikaa pembeni kushuhudia mauaji ya halaiki!
Hassan Nasrallah aendelee kupumzika kwa amani.
Kobaz hamjawahi kuwa timamu hata kidgo
Screenshot_20241128-185245_1.jpg
 
Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah.

hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani.

Kweli, walitimiza lengo hilo baada ya kuwatandika bomu moja tu wamarekani hapo Beirut Lebanon. Walisambaratisha makao makuu ya kivita ya mashariki ya kati ya wamarekani walioikita hapo beirut wakiamini kuwa mazayuni na wao hakuna anaeweza kuwafanya chochote.

Mammbo yakawa kinyume na matarajipo yao baada ya kuanzishwa kikundi cha hebollah. Wakabamizwa bomu moja tu, wakatoka mkuku wao na mashoga zao wa kizayuni. Lebanon ikarudi kwa watawatawala wake wa kiasili.

Mazayuni na wamarekani tukio lilel liliwauma sana, hawakulisahau, mazayuni kwa kusaidiwa na wamarekani wakaivamia tena Lebanon, kama walivyofanya juzi juzi. Iliwachukuwa siku sita kuikamata lebanon yote. Wakijiaminisha kua hakuna ataewafanya kitu kwa wakati huo, walijisahau na kudhani kuwa walishawadhibiti hezbollah. Kinyume na matarajio yao, hezbollah wakalianzisha tena mwaka 2006, wakawatembezea kichapo mazayuni mpaka wakakikmbia kabisa na kurudi kwenye ardhi za wapalestina wanazozikalia kwa mabavu. Kwa lugha ya sasa, tunasema wakalitema bungo.

Kma kawaida yao, mazayuni hawajakisahau kichapo na hivi juzi juzi bita yao na kikundi kidogo cha hamas na silaha za wamarekeani na NATO nzima zikawafanya wajone kuwa hakuna wakuwazuia sasa kuiteka Lebanon.

Afanaalek, kufa hakuna breki. Hezbollah kama kawaida yao na kutimiza azma ya kuansishwa kwao, wakaanza kwamyofoa mazayuni huko lebanon, kuona sasa wamewadhibiti na hakuna watachiokifanya huko, wakaanza kuwanyofoa "kwao" mazayuni, kichapo walichotembezewa kimefanya netanyau ale matapishi wake. kwani aliwahi kusema "kukubali kusitisha mapigano" ni kusalimu amri kuwa tumeshindwa, hilo halitatokea.

Tunauliza kiko wapi? Ushahidi wa niliyoyaandika. Haya ndiyo mayapisha aliyoyameza nyau:

View: https://youtube.com/shorts/7GyeA2uKKdE?si=qaWL-ONlF9W6DOVi

Wakiuwawa mnaanza free sijui Nini. Waislamu akili hamna ndio maana mtume wenu, au basi.
 
Imekuuma eenh?

Kuna kipindi nilikuwa nadhani wewe bibiye una kitu kichwani.....Lakini articl;es zako nyingi zimefunua ubongo wako! Laiti ungekuwa unafikiri kabla hujakaa kwenye key board... ungeficha aibu yako...!
 
Back
Top Bottom