Netanyahu asalimu amri baada ya kichapo cha Hezbollah

 
 
Baby FaizaFoxy kama uko tayari kujadili mijadala kwa uwazi hebu tujadili mambo yanatokea Syria.

Je Waasi wa Syria na Uturuki wana controliwa na Israel.

Miaka 6-8 iliyopita Assad, Iran, Hezbollah wakisaidiwa na Urusi waliweza kuwatimua Waasi nje ya Allepo. Jambo la kipekee kabisa ni kuwa Baada kusitishwa kwa mapigano kati ya Israel na Hezbollah (Iran), Waasi wa Syria chini ya Uturuki wameuteka mji wa Allepo chini ya wiki.

Hezbollah kama Kundi na Kijeshi wako kwenye wakati mgumu sana kuamua wapeleke wapi wanajeshi kati ya Syria au waendelee kuresist mapigano dhidi ya Israel, at the same time Russia wako bussy na vita na Ukraine.
 
Hawa waasi wametumia udhaifu wa washirika wa Assad kubanwa mbavu Ili kujiimarisha.

Hezbollah wamejeruhiwa na Israel huku Urusi akiwe bize huko Ukraine....Iran naye bado anajitathmini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…