Netanyahu asema kuwa kumuua Khamenei kungemaliza mzozo kati ya Iran na Israel

Netanyahu asema kuwa kumuua Khamenei kungemaliza mzozo kati ya Iran na Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameieleza ABC News kuwa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, “hakuwezi kuchochea mzozo zaidi, bali kutamaliza kabisa mzozo huo.”

Alipoulizwa iwapo Israel inalenga moja kwa moja kumuua Khamenei, Netanyahu alijibu kwa kusema kuwa “Israel inafanya kile tunachopaswa kufanya.”
================
Netanyahu says assassinating Khamenei would end Iran-Israel conflict - ABC

The killing of Iran's Supreme Leader Ali Khamenei "is not going to escalate the conflict, it's going to end the conflict," Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu told ABC News.

Asked if Israel would indeed target him, Netanyahu said that Israel was "doing what we need to do
 
Fanya jambo babu watanzania tufurahi 😎

download.jpeg
 
Sishani kama ni solution! Dawa ni kuungusha Utawala wa Kiislamu wa Iran.
Wakimuua Ayatollah anachaguliwa mwingine.
 
Marekani aliposema anamzuia Israel asiitoe roho ya Ayatollah nilihisi ni tafsida, kuna kitu walishajadili kumhusu Ayatollah. Kwa hii kauli ya Ben Nyau bila shaka kuna bunker burster moja inafanyiwa maandalizi ya mwisho kabla ya kutumwa kwenye moja ya mahandaki ya Iran.
 
Shetanyahu anataka kufanya deal na Hamas kaona Iran si mchezo na sa hivi vitu vinatua Iran yule kenge Echolima1 alituambia Israel ana control anga la Iran hahaha
 
Back
Top Bottom