Netanyahu asema kuwa kumuua Khamenei kungemaliza mzozo kati ya Iran na Israel

Netanyahu asema kuwa kumuua Khamenei kungemaliza mzozo kati ya Iran na Israel

Huyo mzee anataka kuifuta nchi nyingine kwenye uso wa dunia huku yeye akiogopa kufa kwa kujificha kwenye mahandaki masaa yote.
Mossad wakimtaka watamdabua tu. Usije kushangaa hata mlinzi wake mkuu ni Mossad tayari 😂
 
Sishani kama ni solution! Dawa ni kuungusha Utawala wa Kiislamu wa Iran.
Wakimuua Ayatollah anachaguliwa mwingine.
Malengo ni kuupinduwa utawala wa Ayatollah.

Serikali za mapinduzi huwa zinaondolewa kwa mapinduzi.
 
Back
Top Bottom