Netanyahu atangaza kuua maafisa ulinzi wawili wa Iran ikiwemo Mkuu wa Ujasusi wa Jeshi La Iran Majid Khadami

Netanyahu atangaza kuua maafisa ulinzi wawili wa Iran ikiwemo Mkuu wa Ujasusi wa Jeshi La Iran Majid Khadami

Kumuua huyo mwamba kutaleta mabadiliko gani katika hii vita?

Hakuna mtu mwinvine wa kuchukja hiyo nafasi?
 
Wakuu wa vyombo wanapuputika hata wakiishi kwa kukimbia vivuli vyao
wamebaki wahuni wale wanaorusha penseli na vipepeo maskani yao mapangoni na kwa jinsi Mossad wameucompromise mfumo mzima wa magaidi wa IRGC ipo siku kitawaka hukohuko mapangoni.
 
Back
Top Bottom