Netanyahu awaomba wairan waandamane. Kipigo kimemrusha akili

Netanyahu awaomba wairan waandamane. Kipigo kimemrusha akili

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Kipigo kikubwa ambacho hakikutarajiwa ndani ya miji ya Israel kimemrusha akili waziri mkuu wa Israel ambapo sasa ameomba msaada kwa wananchi wa Iran akiwaelekeza waandamane kuungusha utawala wa Khomenei.

Netanyahu ameshindwa kujua kuwa mbinu hizo za kuomba msaada wa ndani kwa kuwagonganisha watu hazijafanya kazi hata Gaza ambako eneo lote limezingirwa. Hamas tayari wamekiangamiza kikundi kilichopewa silaha ili kusimamia mitego ya chakula na kupigana nao.

Netanyahu Calls on Iranian People to Overthrow Their Government
 
Hili lilishindikana tangu Enzi,
Iran hawezi kuwa kibaraka wa US kama kina Saudia na wenzie.
Haya yote ni Trump anataka wewe chini yake Ila ikumbukwe Iran na Saudia ni maadui kama Wayahudi tu.

Hizi mbinu Wairan hawatakubali eti wangeuke Kiongozi wao

Waarabu wamesainishwa billions of dollars kwa ajili ya silaha ambazo zinakaa bila manufaa
Labda ndio hizo zimetumika kipiga Iran

Linawezekana sana hili na mwenye akili analiona
 
Sio rahisi ata Urusi ana uwezo wa kumuondo zele mda wowote ule, unajua kwa nini aja muondoa?
 
Unapiga ngoma unacheza mwenyewe...Israel wakiamua kumuondoa Ayatollah ni suala la muda we endelea na ushabiki wa kikum×
Kumuondoa Khamenei japo si jambo zito lakini halina maana kubwa katika vita na kuelekea kusambaratika kwa Israel.
Kumbuka kule Gaza na Lebano viongozi wote wakuu wameuliwa na bado waliobaki wanaendelea kuwapiga akina Netanyahu.
Dawa ni kuacha kibri basi.
 
Kipigo kikubwa ambacho hakikutarajiwa ndani ya miji ya Israel kimemrusha akili waziri mkuu wa Israel ambapo sasa ameomba msaada kwa wananchi wa Iran akiwaelekeza waandamane kuungusha utawala wa Khomenei.

Netanyahu ameshindwa kujua kuwa mbinu hizo za kuomba msaada wa ndani kwa kuwagonganisha watu haujafanya kazi hata Gaza ambako eneo lote limezingirwa.Hamas tayari wamekiangamiza kikundi kilichopewa silaha ili kusimamia mitego ya chakula na kupigana nao.
Una dalili zote za kutotumia dawa zako kikamilifu ndio maana unaandika vitu vya ajabu ajabu kama headless chicken.
 
Netanyahu anaenda kuyasambaratisha makazi yale ya pepo wachafu wenye muhuri wa mudi
 
Back
Top Bottom