Kipigo kikubwa ambacho hakikutarajiwa ndani ya miji ya Israel kimemrusha akili waziri mkuu wa Israel ambapo sasa ameomba msaada kwa wananchi wa Iran akiwaelekeza waandamane kuungusha utawala wa Khomenei.
Netanyahu ameshindwa kujua kuwa mbinu hizo za kuomba msaada wa ndani kwa kuwagonganisha watu hazijafanya kazi hata Gaza ambako eneo lote limezingirwa. Hamas tayari wamekiangamiza kikundi kilichopewa silaha ili kusimamia mitego ya chakula na kupigana nao.
Netanyahu Calls on Iranian People to Overthrow Their Government